Nyumbani » 15/12/2017 Entries posted on “Disemba 15th, 2017”

Machafuko mapya, misaada ya kibinadamu zaidi yahitajika YEMEN

Kusikiliza / Yemen2

Machafuko mapya yameibuka magharibi mwa pwani ya Yemen na kusababisha watu kuyakimbia makazi yao Zaidi ya watu 1,400 wamekimbilia majimbo ya Taizz na Hudaydah na kwenda maeneo mengine ambako huko wanahitaji misaada ya kibinadamu Msemaji wa shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR Babar Baloch amesema kuwa tayari misaada ya dharura imepelekwa kwa [...]

15/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Makombora yetu “hayakiuki” kanuni zozote- Korea Kaskazini

Kusikiliza / SECCO

Hoja ya Korea Kaskazini kuendelea kufanya majaribio ya nyuklia kinyume na makubaliano ya kimataifa imejadiliwa kwa kina leo kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakikutana mawaziri wa mambo ya nje na mabalozi ambao nchi zao ni wajumbe wa baraza hilo. Korea Kaskazini na Korea Kusini zilihudhuria kwa mujibu wa kanuni namba 37 ya [...]

15/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mshikamano wakati wa dhiki ndio faraja yangu: Midori

Kusikiliza / Mjumbe wa amani Bi. Midori nchini Mexico. Picha: UM/Video capture

Hivi karibuni tetemeko la ardhi nchini Mexico lilisababisha vifo, majeruhi na mamia ya watu kukosa makazi. Mji wa Jojutla mkoani Morelos, ni mojawapo ya maeneo yaliyoathiriwa zaidi, na hivyo Umoja wa Mataifa, kwa kushirikiana na serikali ya Mexico na wadau wenginewameshikamana kuwasaidia waathirika hasa kuwapa hifadhi ya muda. Mbali na mahitaji mengine ya kibinadamu, muziki [...]

15/12/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Neno la wiki: Zuzu na Bwege

Kusikiliza / Neno la wiki_Zuzu na Bwege

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno “Zuzu” na “Bwege”.  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA. Nuhu anasema zuzu ni mtu ambaye hana akili timamu, mtu ambaye akifunzwa hata hafunziki. Zuzu pia unaweza kumwita mjinga, zezeta au [...]

15/12/2017 | Jamii: Habari za wiki, Neno La Wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yanusuru wakimbizi 74 waliokuwa wanashikiliwa Libya

Kusikiliza / Wakimbizi waliokuwa wanashikiliwa Libya. Picha: UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limefanikiwa kuwahamisha wakimbizi 74 waliokuwa wanashikiliwa huko Libya na kuwasafirisha hadi Niger. Hatua hiyo inafuatia matukio ya hivi karibuni yaliyokumba wakimbizi na wahamiaji ikiwemo kufanyika ukatili na kuuzwa utumwani wakati wakisaka hifadhi Ulaya. Zoezi hilo linalosimamiwa na UNHCR na washirika limewezeshwa  kufuatia makubaliano ya Umoja wa [...]

15/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi wa Darfur walioko CAR waanza kurejea nyumbani:UNHCR

Kusikiliza / Halima Ibrahim na familia yake ni miongoni mwa wakimbizi wa kwanza wa Sudan ambao wanarudi nyumbani baada ya miaka kumi ya ukimbizini CAR. Picha: © UNHCR / Ahmed Dotum

Wakimbizi wa Sudan waliokuwa kwenye kambi za Bambari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, wameanza kurejeshwa kwa hiyari nyumbani kufuatia uzinduzi wa zoezi hilo unaondeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR juma hili. Kwa mujibu wa msemaji wa UNHCR Geneva, Uswisi, Barbar Baloch zaidi ya wakimbizi 230 wamewasili kwenye uwanja [...]

15/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Goma waenzi walinda amani wa Tanzania, familia zalilia wapendwa wao

Kusikiliza / Walinda amani-2

Huko Goma hii leo kwenye jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO kunafanyika tukio maalum la kuenzi walinda amani 14 wa Tanzania waliouawa katika shambulio wiki iliyopita huku familia za walinda amani hao zikizungumzia mustakhbali wao. Shughuli hiyo inaongozwa na mkuu wa operesheni [...]

15/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwaka wa tano sasa, hali ya watoto bado kintendawili Sudan Kusini- UNICEF

Kusikiliza / 10_PHM_SSD_BentiuChildrenOfPoC_5358

Ripoti ya shirika la watoto duniani UNCEF imesema Sudan kusini ni moja ya nchini ambako nusu ya idadi ya watoto wameathiriwa na utapiamlo, magonjwa mbalimbali na pia ukosefu wa elimu. Patrick Newman na ripoti kamili. (Taarifa ya Patrick) Kwa mujibu wa ripoti hiyo, watoto wengi Sudan kusini hufanyiwa vitendo vya kikatili, hulazimishwa kujiunga na makundi [...]

15/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031