Nyumbani » 11/12/2017 Entries posted on “Disemba 11th, 2017”

Dola milioni 13.4 kusaidia mahitaji ya dharura Nigeria

Kusikiliza / Wahudumu wa afya katika kambi ya wakimbizi wa ndani Nigeria. Picha: WHO

Umoja wa Mataifa umetenga dola milioni 13.4 kwa ajili ya kusaidia watu wenye uhitaji wa haraka wa misaada wa kibinadamu nchini Nigeria Bwana Edward  Kallon ambaye ni ofisa kutoka  ofisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, OCHA,  nchini Nigeria amesema watu milioni 8.5 wana uhitaji wa haraka wa msaada wa kibinadamu Kaskazini [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Utunzaji misitu ni jawabu la mabadiliko ya tabianchi

Kusikiliza / Washukiwa wakamatwa juu ya kuingilia na kuchafua hifadhi ya msitu ya serikali ya Bugoma. Picha: UM/John Kibego

Mkataba wa Paris kuhusu  mabadiliko ya tabianchi unaziasa serikali, mashirika ya kimataifa na asasi za kiraia duniani kote kuongeza jitihada  katika zoezi la kulinda mazingira. Upandaji  miti na uhifadhi wa misitu miti ni moja ya hatua muhimu sana  katika kukabiliana na tatizo la ukame katika nchi nyingi kusini mwa jangwa la Sahara. Nchini Uganda kampeni ya upandaji  miti [...]

11/12/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Al-Shabaab wasababisha majeruhi wengi Somalia: UM

Kusikiliza / Operesheni ya kukamata wafuasi wa Al Shabaab mjini Mogadishu nchini Somalia (maktaba).Picha: UM/Tobin Jones

Mzozo nchini Somalia unaendelea kusababisha maafa makubwa dhidi ya raia, ukiharibu miundombinu na vyanzo vya mapato, kulazimisha maelfu kukimbia makwao na kukwamisha upelekaji misaada ya kibinadamu kwa wanayoihitaji, imesema ripoti ya Umoja wa Mataifa ilichapishwa Jumapili. Ripoti hiyo itwayo "Ulinzi wa Raia: Kujenga Msingi wa Amani, Usalama na Haki za Binadamu nchini Somalia," ambayo imechapishwa [...]

11/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Panua wigo wa bidhaa ili kufanikisha SDGs- Ripoti

Kusikiliza / Sri Lanka kununua mchele kutoka Bangladesh ili kuhakikisha uhakika wa chakula na kupunguza gharama za ununuzi wa chakula kutoka nchi za nje. Picha: FAO

Umoja wa Mataifa umesemanchi zinazoendelea ambazo ni tegemezi kwa bidhaa ni lazima ziwe na mpango wa kupanua wigo wa bidhaa zao ili kuweza kufanikisha ajenda 2030 ya maendeleo endelevu, SDGs. Mashirika hayo lile la chakula na kilimo, FAO na kamati ya maendeleo ya biashara, UNCTAD wamesema hayo katika ripoti yao ya leo. Wamesema ni lazima [...]

11/12/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Guterres kuzungumza na Rais Magufuli wa Tanzania

Kusikiliza / Antonio Guterres

Kufuatia mauaji ya walinda amani 14 wa Tanzania huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC siku ya Alhamisi na wengine zaidi ya 44 kujeruhiwa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres muda wowote sasa atazungumza kwa njia ya simu na Rais John Magufuli wa Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wapatieni makazi ya kudumu wahamiaji 1,300 Libya- UNHCR

Kusikiliza / Wakimbizi na wahamiaji wanalala sakafuni katika kituo cha kizuizini cha Tariq al-Sikka huko Tripoli, Libya. © UNHCR / Iason Foounten

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limetoa  wito kwa serikali  zote duniani kutoa hifadhi wa kudumu kwa wahamiaji 1300 walioko katika mzingira magumu nchini  Libya. Volker Turk  ambaye Kamisha msaidizi wa UNHCR kwa ajili ya ulinzi kwa wakimbizi amesema hali ya wahamiaji hao  nchini Libya ni ya kusikitisha sana, hivyo wahisani  wanahitajika [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwaka mmoja wa mkataba wa Paris, mafanikio ni dhahiri

Kusikiliza / Mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi. Picha: UM

Mkutano wenye lengo la kuchagiza utekelezaji wa mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi utafanyika kesho mjini Paris, Ufaransa, ukienda sambamba na maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kutiwa saini kwa nyaraka hiyo. Viongozi wa ngazi ya juu watashiriki mkutano huo akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres, Rais wa benki ya Dunia pamoja [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watu wa milimani kusaidiwa kukabili njaa, mabadiliko ya tabia nchi na uhamiaji

Kusikiliza / Wakulima wa Nepal wanabeba lishe ya mifugo. Picha: FAO

Serikali na asasi za kiraia zimeamua kushika usukani katika kuwasidia watu waishio milimani kukabiliana vyema na mabadiliko ya tabia nchi, njaa na uhamiaji  kwa mujibu wa ripoti ya shirika la chakula na kilimo FAO iliyotolewa leo. Ripoti hiyi inasema nchi takriban 60 na mashirika ya kiraia zaidi ya 200 wametoa ahadi leo katika siku ya [...]

11/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Miili ya walinda amani wa Tanzania waliouawa DRC yawasili Dar es salaam

Kusikiliza / Miili ya walinda amani1

  Miili ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa  14 waliouawa katika mashambulizi huko kivu ya kaskazini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongpo-DRC mwishoni mwa wiki iliyopita  imewasili nchini Tanzania leo  kwa ajili ya mipango ya mazishi. Lean Mushi na taarifa zaidi. (Taarifa ya Leah Mushi) Makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani, bendera za [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Mtoto 1 kati ya 3 wanatumia inteneti, lazima walindwe:UNICEF:

Kusikiliza / Wanafunzi wakijifunza kwa kutumia tableti ya msaada uliotolewa na UNICEF katika shule ya Baigai, Kaskazini mwa Cameroon, Jumanne ya Oktoba 2017. Picha na UNICEF

Wakati fursa ya matumizi ya mtandao wa intaneti ikiongezeka ni lazima dunia hii ya kidijitali iyafanye matumizi hayo kuwa salama kwa watoto ili yaweze kunufaisha hasa wale walio katika hatari zaidi. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF iliyotolewa leo ambayo inaonyesha mgawanyiko wa kidijitali [...]

11/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031