Nyumbani » 10/12/2017 Entries posted on “Disemba 10th, 2017”

CERF yavunja rekodi, wahisani 36 waahidi dola milioni 383 kwa 2018:

Kusikiliza / Bango la mkutano wa ngazi ya juu wa ahadi za usaidizi kwa CERF kwa ajili ya mwaka 2018. Picha na CERF

Mfuko wa dharura wa Umoja wa Mataifa CERF umevunja rekodi ya mapato kwa mwaka 2017 wakati wahisani walipotoa ahadi zaidi za msaada wa fedha kwa mwaka 2018. Wakati wa mkutano mkutano wa ngazi ya juu wa ahadi za msaada kwa ajili ya mwaka 2018 uliofanyika wiki hii kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New [...]

10/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Chukua hatua, simamia haki za binadamu:Zeid

Kusikiliza / Eleanor Roosevelt wa Marekani akiwa ameshika nakala ya tamko la haki za binadamu  lililoandikwa la lugha ya Kiingereza  (Novembea 1949). Picha na UN

Leo ni siku ya kimataifa ya haki za binadamu duniani ambayo kila mwaka huadhimishwa tarehe 10 ya mwezi Desemba. Mwaka huu ikiwa ni wa 69 tangu kupitishwa kwa azimio namba 2017  la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa hapo Desemba mwaka 1948, Kamisha mkuu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Zeid Raa'd [...]

10/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031