Nyumbani » 09/12/2017 Entries posted on “Disemba 9th, 2017”

Mauaji ya kimbari asilani yasiwe na nafasi sasa hata milele:UN

Kusikiliza / KIGALI

Katika kuwaenzi wahanga wa mauaji ya kimbari, ofisi ya Umoja wa mataifa inayoratibu juhudi za kuzuia mauaji hayo imezindua ombi kwa nchi wanachama la kuridhia mkataba wa 1948 wa kuzuia mauaji ya kimbari ifikapo mwisho wa mwaka 2018 kama bado hawajafanya hivyo. Katika ujumbe wake wa kuadhimisha siku hii ya kuwakumbuka na kuwaenzi wahanga wa [...]

09/12/2017 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Matrilioni ya dola yatumika kwa rushwa duniani:UNDP

Kusikiliza / Picha ikionyesha jinsi rushwa inavyotolewa . Picha hiyo imetolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP katika siku ya kimataifa ya kupinga rushwa.

Kiwango cha kila mwaka cha rushwa duniani kinakadiriwa kuwa dola ya trilioni moja, wakati huo huo uchumi wa dunia unapoteza dola trilioni 2.6 kutokana na rushwa. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP , katika nchi zinazoendelea hasarara zinazohusiana na ufisadi au rushwa zinazidi mara 10 msaada rasmi wa [...]

09/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031