Nyumbani » 07/12/2017 Entries posted on “Disemba 7th, 2017”

Mapigano ya kikabila Sudan Kusini yachochea hali ngumu- Lacroix

Kusikiliza / Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani kwenye Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix akizungumza kuhusu uslama nchini Sudan Kusini. Picha: UM/Manuel Elias

Gharama ya mzozo wa Sudan Kusini kwa wananchi inazidi kuongezeka kila uchao wakati huu ambapo mapigano yanaendeleo huku mahitaij ya kibinadamu nayo yakiongezeka. Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani kwenye Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix amesema hayo hii leo akiwasilisha ripoti ya siku 90 ya Katibu Mkuu wa umoja huo kuhusu hali ya usalama [...]

07/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Nina hisia za kushindwa katika suala la Syria: Egeland

Kusikiliza / Jan Egeland akizungumza na wanahabari mjini Geneva, Uswisi. (Picha: UN/Luca Solari)

Ukosefu wa kufikishwa misaada kwa jamii nyingi zinazoihitaji zaidi Syria na kura ya turufu inayoendelea kuwa kikwazo cha kuwahamisha mamia ya wagonjwa walio katika hali mbaya ni hisia kama ya “kushindwa”, amesema leo mshauri mwandamizi wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswis ,Jan Egeland ameeleza kwamba [...]

07/12/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Hatimaye nuru yaangukia wapemba waliohamia Kenya

Kusikiliza / Pemba 2 Kenya

Ukosefu wa taifa ni tatizo linalokumba mamilioni ya watu duniani. Wengi wao wakikosa utaifa kwa misingi ya dini, kabila au eneo walikotoka. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linasema mamilioni ya watu hawana utaifa na asilimia 75 ya kundi hilo ni watu kutoka makundi madogo. Ubaguzi, kutengwa na mateso ni mambo wanayokumbana [...]

07/12/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ugonjwa wa kusahau kuongezeka mara 3 zaidi

Kusikiliza / Dementia, ugonjwa wa kusahau unatuathiri sote iwe kwa kuhudumia wapendwa wetu au kwa kutupata sisi wenyewePicha: WHO

Kadri idadi ya wazee inavyoongezeka duniani, ndivyo vivyo hivyo idadi ya watu wanaougua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu au kusahau inaongezeka. Limesema shirika la afya duniani, WHO katika ripoti yake iliyotolewa hii leo kama anavyoelezea Leah Mushi. (Taarifa ya Leah Mushi) Nats.. Dementia!, ugonjwa wa kusahau unatuathiri sote iwe kwa kuhudumia wapendwa wetu au kwa kutupata [...]

07/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuwezesha mwanamke bila kuelimisha mwanaume ni bure- UNWomen

Kusikiliza / Mary Mtaki pamoja na mama yake dukani lao jijini Tunduma, Tanzania. Picha: UN Women Tanzania Tanzania / Deepika Nath

Siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake zikiendelea kupigiwa chepuo kila kona ulimwenguni, imeelezwa kuwa kumwezesha mwanamke bila kumuelimisha mwanaume hakuna tija yoyote. Selina Jerobon na maelezo zaidi. (Taarifa ya Selina Jerobon) Mehjabeen Alarakhia ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya kuwezesha wanawake kiuchumi katika shirika la masuala ya wanawake la Umoja wa Mataifa, UNWomen [...]

07/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Dola milioni 187 zahitajika kwa usaidizi Ukraine- Walker

Kusikiliza / Mapigano Ukraine yanaendelea kuharibu miundombinu muhimu, na raia wahitaji misaada. Picha (Maktaba): UNHCR_Iva Zimova

Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine Neal Walker amesema dola milioni 187 zinahitajika kukidhi mahitaji ya kibinadamu nchini humo kwa mwaka 2018. Amesema hayo mjini Geneva, Uswisi wakati akihutubia wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakati huu ambapo wananchi milioni 2.3 wanahitaji misaada ya dharura. Bwana Walker amesema kiasi mzozo huko [...]

07/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Msanii mzaliwa wa Zanzibar ashinda tuzo ya Sanaa ya Turner:IOM

Kusikiliza / Lubaina Hamidi iom

Msanii wa Uingereza Lubaina Himidi ametambulika kimataifa juma hili baada ya kazi yake ya saana inayotanabaisha siasa za kibaguzi na mchango wake katika masuala ya kumbukumbu ya utumwa  na uhamiaji kushinda tuzo ya mwaka huu ya Turner ambayo ni tuzo ya kimataifa ya sana aza kuchora. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la [...]

07/12/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kenya na Burundi miongoni mwa nchi 37 zinazohitaji msaada wa chakula- FAO

Kusikiliza / Familia huko Garissa nchini Kenya wanatembea kuelekea sehemu ambayo wataweza kupata maji. Picha: UNICEFKenya/2017/Serem

Mavuno mengi ya nafaka ulimwenguni bado hayajaweza kusaidia kuondokana na ukosefu wa chakula katika nchi 37 duniani, 29 kati ya hizo zikiwepo barani Afrika. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la chakula na kilimo duniani, FAO iliyotolewa leo huko Roma, Italia ikiangazia matarajio ya mazao na hali ya chakula. Ripoti imesema kuwa mavuno [...]

07/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Dkt. Salim azungumzia hatma ya Mashariki ya Kati

Kusikiliza / Kamati ya UM kuhusu haki za wapalestina2

Kufuatia mjadala unaoendelea kuhusu hatma ya mji wa Yerusalem huko Mashariki ya Kati na mustakhbali wa suluhu ya mataifa mawili ya Palestin na Israel kwenye ukanda huo, mwanadiplomasia nguli nchini Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim ametaja kile kinachopaswa kuzingatiwa ili amani iwepo. Dkt. Salim ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo cha habari cha Umoja [...]

07/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031