Nyumbani » 03/12/2017 Entries posted on “Disemba 3rd, 2017”

Hali nchini Yemen yazidi kudorora, Guterres apaza sauti

Kusikiliza / mtoto

Nchini Yemen hali ya usalama na kibinadamu inazidi kuzorota kila uchao ambapo mapigano ya hivi karibuni yakiambatana na mashambulizi kutoka angani yamesababisha vifo vya raia na wengine wengi wamejeruhiwa. Kufuatia kitendo hicho Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameeleza hofu yake kubwa kutokana na kuongezeka kwa mapigano huku yakizuia watu kutembea na misaada [...]

03/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tuwe makini maendeleo yasisababishe zahma- Lajčák

Kusikiliza / PGA-nairobi akipanda mti

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Miroslav Lajčák aliyeko ziarani nchini Kenya, amesema maendeleo hayapaswi kusababisha uharibifu wa mazingira. Amesema hayo jijini Nairobi, wakati akifunga mjadala kuhusu sayansi, sera na biashara, mjadala uliofanyika kwa siku mbili. Bwana Lajčák amesema hayo akizingatia kuwa harakati za sasa za maendeleo duniani zimekumbwa na vikwazo kama vile [...]

03/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tuondoe vikwazo vya kitamaduni na kimazingira dhidi ya watu wenye ulemavu- Guterres

Kusikiliza / Sri Lanka2

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu, Umoja wa Mataifa unapigia chepuo marekebisho yatakayoondoa vikwazo dhidi ya kundi hilo ili malengo ya maendeleo endelevu yanufaishe watu wote. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake amesema msingi mkuu wa kufanikisha hilo ni kuweka mazingira ambamo kwayo hakuna mtu atakayeona [...]

03/12/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031