Utamaduni na burudani vyang'aa mkutano COP23

Kusikiliza /

Watumbuizaji wafanya sherehe za kitamaduni COP23. Picha: UM/Video capture

Mkutano wa 23 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, COP23 umefanyika wiki hii huko Bonn, Ujerumani, lengo kuu ni kuchagiza mbinu za kukabili mabadiliko ya tabianchi ambayo yanaendelea kuwa mwiba kwa wakazi wengi duniani. Kando na vikao kumefanyika pia burudani,basi ungana na Grace Kaneiya katika Makala ifuatayo

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930