Neno la wiki: Kichinjamimba

Kusikiliza /

Neno la wiki_KICHINJAMIMBA

Wiki hii tunaangazia neno “Kichinjamimba” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.

Bwana Sigalla anasema Kichinjamimba ni mtoto ambaye amezaliwa mwishoni kabisa katika idadi ya watoto wa mama.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031