Neno la wiki: Bwela Suti

Kusikiliza /

Neno-la-wiki_BWELA-SUTI

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno “Bwela Suti”.  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Nuhu anasema "Bwela Suti" ni “apron” au vazi analovaa mtu ili kuzuia uchafu wa mafuta ama vitu vyovyote vile kuharibu nguo zake, aghalabu au hususan hutumika jikoni, lakini pia linawezatumika katika mazingira mengine.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031