Nyumbani » 23/11/2017 Entries posted on “Novemba 23rd, 2017”

Wakimbizi na wahamiaji watumia njia tofauti kufika Ulaya:UNHCR

Wakimbizi wakiwasili Ulaya kwa njia ya boto kupitia bahari ya Mediterranea. Picha na UNHCR

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR inaonyesha mabadiliko katika njia zilizotumiwa na wahamiaji na wakimbizi kuingia Ulaya katika robo ya tatu ya mwaka 2017. Kwa mujibu wa Pascale Moreau, mkurugenzi wa UNHCR kanda ya Ulaya katika miezi michache iliyopita njia ya bahari kuelekea Ugiriki imekuwa na mvuto [...]

23/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yatoa wa utulivu baada ya wakimbizi kuondolewa kwa shuruti Manus

Kituo cha usaili cha wakimbizi na waomba hifadhi cha kisiwani Manus. Picha na UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema limesikitishwa na ripoti kwamba nguvu imetumika kuwaondoa wakimbizi na waomba hifadhi kutoka kwenye kituo cha zamani cha usaili kisiwani Manus. Ingawa shirika hilo limehakikishiwa kwamba hakujatumika nguvu kupita kiasi lakini limesema haliwezi kuthibitisha hilo kwani wafanyakazi wake hawajapewa fursa kamili ya kufanya tathimini kwenye kituo [...]

23/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto mkoani Mwanza Tanzania wapazia haki zao

Kusikiliza / Mmoja wa watoto watangazaji kwenye mtandao wa watoto wanahabari mkoani Mwanza, nchini Tanzania. (Picha: Kwa hisani ya MYCN)

Leo Alhamisi tunakuletea jarida maalum likiangazia siku ya watoto duniani iliyoadhimishwa tarehe 20 mwezi huu wa Novemba. Msingi wa siku hii ni mkataba wa haki za mtoto uliopitishwa miaka 28 iliyopita ukiweka bayana haki kuu nne za msingi ambazo ni Kuishi, Kuendelezwa, Kulindwa na Kushirikishwa. Umoja wa Mataifa unataka haki hizi kuu nne zizingatiwe ili [...]

23/11/2017 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Dawa mseto ya Artemisinin imesaidia kupunguza malariaTanzania:WHO

Kampeni ya kutokomeza malaria kwa kufundisha wananchi matumizi na umuhimu wa vyandarua vyenye dawa nchini Tanzania. Picha na WHO

Matumizi ya dawa mseto ya Artemisinin au (ACTs) kama chaguo la kwanza la matibabu tangu mwaka 2001 imesaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa malaria katika nchi zilizoghubikwa na ugonjwa huo kwa muda mrefu imesema leo ripoti ya ufuatiliaji ya shirika la afya duniani WHO. Ripoti hiyo inasema mafanikio yamepatika kwa nchi hizo kuchanganya matumizi ya dawa [...]

23/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031