Nyumbani » 22/11/2017 Entries posted on “Novemba 22nd, 2017”

Nishati ni uti wa mgongo wa maendeleo ya LDC's:UNCTAD

Kusikiliza / Nishati imeelezwa kuwa ni uti wa mgongo wa maendeleo duniani lakini nchi masikini kabisa zina upungufu mara sita zaidi ya mataifa yaliyoendelea. Picha: UNCTAD

Nishati imeelezwa kuwa ni uti wa mgongo wa maendeleo duniani lakini nchi masikini kabisa zina upungufu mara sita zaidi ya mataifa yaliyoendelea linapokuja suala la rasilimali hiyo muhimu umeonya leo Umoja wa Mataifa. Katika ripoti yake kuhusu mataifa 47 yenye maendeleo duni au (LDC), kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNCTAD  iliyotolewa [...]

22/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ni lazima vijana washirikishwe majadiliano ya SDGs-Rita – sehemu ya pili

Kusikiliza / Kijana Rita Kimani wa FarmDrive kutoka Kenya alipohojiwa na UN News Kiswahili. Picha na UN News Kiswahili/Patrick Newman.

'Vijana wana mchango mkubwa katika kufanikisha malengo ya maendeleo endevu yaani SDGs kwa sababu ya msukumo na ubunifu wao' hiyo ni kauli ya Rita Kimani, kijana kutoka Kenya ambaye ni mwanzilishi mwenza wa kampuni ya FarmDrive nchini Kenya inayosaidia kuunganisha wakulima wadogo wadogo na fursa ya mikopo bila kuhitaji dhamana. Aidha yeye ni mmoja wa [...]

22/11/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa wapongeza hukumu dhidi ya Mladic

Kusikiliza / Mahakama ya kimataifa ya Jinai ya Yugoslavia ya zamani ICTY. Picha: ICTY

Kamishina mkuu wa haki za binadam wa Umoja wa Mataifa amekaribisha hukumu iliotolewa leo dhidi ya aliyekuwa kamanda wa jeshi la Wasebia nchini Bosinia, Ratko Mladic, ambayo imetolewa na mahakama ya kimataifa ya Jinai ya Yugoslavia ya zamani ICTY, kuhusiana na mashitaka lukuki ya mauaji ya kimbari, uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita. [...]

22/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mfumo mpya wa usalama barabani utasaidia kuokoa maisha ya mamilioni UNECE

Kusikiliza / Afisa wa usalama barabarani anachunguza mwendo wa magari. Picha: UM

Tume ya Umoja wa Mataifa ya uchumi barani Ulaya UNECE, imeanzishia mfumo mpya utakao dhibiti na  kutoa taadhari ya matukio barabarani kwa watumiaji vyombo vya usafiri wakati wa majanga au ajali. UNECE imesema mfumo huo  mpya uitwao AECS umeandaliwa kwajili ya vyombo vya usafri lengo  likiwa ni kutoa taadhari za matukio ya dharura  kama vile kwa idara [...]

22/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kubiš alaani vikali shambulio la bomu Tuz Khurmatu Iraq:

Kusikiliza / Mwakilishi maalumu wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Ján Kubiš. Picha: UM/Amanda Voisard

Mwakilishi maalumu wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Ján Kubiš, amelaani vikali shambulio la bomu lililotegwa kwenye gari Jumanne mjini Tuz Khurmatu, jimbo la Salah El Din ambapo watu kadhaa wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa. Kubiš amesema ugaidi umeshambulia tena Iraq na kusababisha vifo na majeruhi kwa watu wasio na hatia. Ameongeza [...]

22/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Misaada ya dharura ya kibinadamu bado jahitajika Syria: WHO

Kusikiliza / Kituo cha matibabu nchini Syria. Picha: WHO

Shirika la Afya ulimwenguni WHO limelaani vikali  vifo vya watu 7 na wengine 42 kujeruhiwa katika mapambano yaliotokea hivi karibuni kwenye jiji la Damascus  na maeneo jirani Mashariki mwa Ghouta, huko Syria . Kwa mujibu wa mwakilishi wa WHO Syria Bi Elizabeth Hoff hali ya usalama wa raia Ghouta ni ya mashaka kwani matukio mengine [...]

22/11/2017 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ukatili dhidi ya wanawake ni kizingiti cha haki za binadamu:Guterres

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres. Picha: UM

Kila mwanamke na msichana ana haki ya kuishi maisha huru bila ukatili , lakini bado ukiukwaji wa haki za binadamu unatokea katika njia mbalimbali kwenye jamii na kuathiri hususani makundi ya wasiojiweza na waliotengwa ukiwemo ukatili dhidi ya wanawake. John Kibego na taarifa kamili. (TAARIFA YA KIBEGO) Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Umoja [...]

22/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto wa kike warohingya wasimulia walivyokumbwa na ukatili wa kingono

Kusikiliza / Khadija, msichana MRohingya mwenye umri wa miaka 16 anasimulia kilichomkuta kabla ya kukimbia. Picha: UM/Video capture

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linawapatia msaada watoto wa kike na wanawake wa kabila la Rohingya ambao wamekumbwa na vitendo vya ukatili wa kingono wakiwa nchini mwao Myanmar. (Taarifa ya Assumpta) Nats.. Watoto hawa wakimbizi kutoka Myamar wakielekea nchi jirani ya Bangladesh baada ya kukumbwa na ukatili nchini mwao Myanmar. Mmoja wao [...]

22/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vijana wakutana Kampala kujadili amani na usalama- WFUNA

Kusikiliza / uganda 2

Hii leo huko Kampala Uganda, kunafanyika kongamano la kimataifa la vijana liilloandaliwa na shirikisho la kimataifa la jumuiya za Umoja wa mataifa, WFUNA. Kongamano hilo la siku mbili linajadili changamoto na pia fursa katika ujenzi wa jamii  zao kwa kuzingatia amani na usalama. Wakati wa kongamano hilo washiriki watapata fursa za kujadili jinsi changamoto za [...]

22/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031