Nyumbani » 21/11/2017 Entries posted on “Novemba 21st, 2017”

Hatua dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi sio hiyari ni lazima:Guterres

Kusikiliza / Mtazamo kutoka angani wa uharibifu nchini Dominica kufuatia mfululizo wa vimbunga tano mwezi Septemba 2017. Picha: UM / Rick Bajornas

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua za kimataifa dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi sio starehe wala hiyari ni dharura ya lazima inayohitaji utashi wa kila mtu. Ameyasema hayo leo katika mkutano wa ngazi ya juu wa uchagizaji wa ahadi za msaada wa ujenzi mpya na mnepo dhidi ya mabadiliko ya [...]

21/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tushughulikie vishawishi vya usafirishaji haramu wa binadamu- Guterres

Kusikiliza / Mediterranean_migrants_UNHCR_Italy_APR15

Usafirishaji haramu wa binadamu hasa kwenye maeneo ya mizozo unaendelea kuwa mwiba kwa raia wasio na hatia. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hayo katika hotuba yake mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililokutana leo kwenye mjadala wa wazi kuhusu usafirishaji haramu wa binadamu. Guterres amesema ukatili unaofanywa na [...]

21/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mtoto wa Kike anakabiliwa na changamoto nyingi :UNFPA- Mosoti

Kusikiliza / Picha: UNICEF

Changamoto zinazomkabili mtoto wa Kike duniani ni nyingi, ikiwemo za ubaguzi, unyanyasaji wa kijinsia,kudhulumiwa haki zake ikiwemo haki ya kukosa elimu, ukatili, na hata ndoa za utotoni. Sasa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA imeshikia bango haki za mtoto wa Kike na linataka kila nchi, kila jamii na kila mtu [...]

21/11/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Takribani miaka 7 ya vita Syria, watu milioni 13 bado wanahitaji misaada- OCHA

Kusikiliza / Mhudumu wa afya wa UNICEF anapima mtoto kwa ajili ya kudhibiti utapiamlo nchini Syria. Picha: OCHA

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA imetoa ripoti kuhusu madhara na uhitaji wa misaada ikiwa ni takribani miaka 7 tangu kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria. OCHA inasema katika kipindi hicho, misaada  bado inahitajika sana  kwani  watu milioni 13.1, ikiwa ni wanawake, watoto na wanaume wanahitaji usaidizi [...]

21/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sudan wekeni mazingira bora wakimbizi warejee Darfur- Ripoti

Kusikiliza / Wakimbizi wa ndani wa Sudan wanasajiliwa na maafisa wa WFP Darfur. Picha: WFP

Serikali ya Sudan imetakiwa kutunga sera thabiti na za uwazi za kuwezesha wakimbizi wa ndani wapatao milioni 2.6 huko Darfur waweze kurejea nyumbani kwa hiari na kujumuika mpya katika jamii. Wito huo umo kwenye ripoti mpya ya ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa na ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na [...]

21/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Licha ya usalama duni, makusanyo ya mapato Afghanistan yaongezeka

Kusikiliza / Ukuaji wa uchumi yaleta mwanga Afghanistan licha ya mizozo. Picha: World Bank

Benki ya Dunia imepongeza jinsi ambavyo Afghanistan imechukua hatua kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani. Katika ripoti yake ya mwaka  huu, benki hiyo imesema katika miezi nane ya kwanza ya mwaka huu ukusanyaji mapato umeongezeka kwa asilimia 13. Hata hivyo mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia nchini Afghanistan Shubham Chaundri ameangazia kasi ya ukuaji uchumi [...]

21/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Vitisho dhidi ya wataalamu wa haki za binadamu vikome Burundi:UM

Kusikiliza / Michel Kafando, Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu nchini Burundi, anahutubia  mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu hali nchini humo. Picha: UM / Eskinder Debebe

Serikali ya Burundi kupitia mwakilishi wake wa kudumu  katika Umoja wa mataifa imetupilia mbali tuhuma za vitisho na  ukiukwaji wa haki za binadamu katika mkutano wa tume la haki za binadamu wa kujadili mustakabali wa nchini hiyo na  wawakilishi 47, pamoja jopo la watalum wa haki za binadamu. John Kibego na taarifa kamili (TAARIFA YA [...]

21/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM nayo yapaza sauti dhidi ya bishara ya utumwa kwa wahamiaji Libya

Kusikiliza / Mkurugenzi Mkuu wa IOM William Lacy Swing akizungumza na Christiane Amanpour, CNN kuhusu utumwa wa uhamiaji nchini Libya. Picha: IOM

Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM limekaribisha wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wa kutaka biashara ya utumwa kwa wahamiaji nchini Libya ikomeshwe na uchunguzi wa kina ufanywe baada ya ripoti na picha za video kuonyesha wahamiaji Waafrika nchini Libya wanauzwa kama watumwa. Mkurugenzi mkuu wa IOM bwana William [...]

21/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Teknolojia mpya ya kukausha samaki Asia yaongeza kipato na kulinda afya:FAO

Kusikiliza / Kopalapillai Theivarmallar anatumia njia ya ya kitamaduni kukausha samaki katika kijiji chake huko Sri Lanka. Picha: FAO

Teknolojia mpya ya ukaushaji wa samaki iliyozinduliwa na shirika la chakula na kilimo FAO nchini Sri Lanka imesaidia kuinua kipato, kutoa mlo bora, kulinda afya za walaji na kuhifadhi mazingira. Selina Jerobon na taarifa kamili (TAARIFA YA SELINA) Kwa mujibu wa shirika hilo majiko ya asili yaliyotumika kuoka na kukausha samaki kwa kutumia waya na [...]

21/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hatua zahitajika kuimarisha huduma za kujisafi kwa warohingya

Kusikiliza / Watoto wanawa mikono kando ya mto huku wakimbizi wengine wakikusanyika kwenye kituo cha usajili. Picha; UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF lina wasiwasi mkubwa juu ya ripoti ya kwamba wakimbizi wa Rohingya huko Bangladesh wako hatarini kukumbwa na magonjwa yatokanayo na matumizi ya maji yasiyo safi na salama kutoka visima vilivyo eneo la Cox's Bazar. Takwimu za shirika la afya ulimwenguni WHO, zinaonyesha kuwa maji kwenye eneo [...]

21/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Leo ni siku ya televisheni duniani, waandaa vipindi vya UM wajinasibu

Kusikiliza / Dana-2

Leo ni siku ya televisheni duniani, waandaa vipindi vya UM wajinasibu Leo ni siku ya televisheni duniani ambapo Umoja wa Mataifa unamulika ni kwa jinsi gani televisheni inatumika kuangazia masuala yanayoendelea duniani. Mfuko wa Umoja wa Mataifa utatumia siku hii kwenye makao makuu jijini New York, Marekani kwa kuratibu kongamano litakaloleta pamoja waigizaji wa filamu, [...]

21/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031