Nyumbani » 20/11/2017 Entries posted on “Novemba 20th, 2017”

Ajira kwa vijana itaziti kuwa changamoto mwaka 2018 – ILO

Kusikiliza / Viijana kazinI, wakiwa ni fundi wa magari katika wakati huu ya ukosefu wa ajira. Picha: ILO

Ripoti mpya ya soko la  ajira kwa vijana kutoka shirika la kazi ulimwenguni, ILO  iliyotolewa leo inaonyesha kuwa zaidi ya vijana milioni 70.9  ambao ni sawa aslimia 13.1 ya vijana wote duniani  wanakosa ajira. Bi Deborah Greenfield ambaye ni naibu mkurugezi mkuu wa ILO wa sera anasema hali ya  upatikanaji wa ajira kwa vijana itaendela [...]

20/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Zanzibar na harakati za kulinda mazingira ili kuchangia utalii

Kusikiliza / Bwana Youssouf Mouzamildine, mvuvi na makazi wa Zanzibar akijitayarisha kuvua samaki. Picha: UM/Priscilla Lecomte[/caption]

Huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania, uharibifu wa mazingira hususan maeneo ya baharini unatishia mustakhbali wa utalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato visiwani humo. Katika mkutano wa hivi karibuni wa tume ya Umoja wa Mataifa kwa uchumi wa Afrika, ECA huko Comoro ambako washiriki kutoka serikali walipazia fursa na vikwazo vya uchumi. Miongoni [...]

20/11/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

UM wachukizwa na ripoti za waafrika kuuzwa kama watumwa Libya

Kusikiliza / SG reads press statement

Kufuatia habari ya kwamba wahamiaji wa Afrika walioko nchini Libya wanauzwa kama watumwa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa na kueleza kushtushwa kwake na kitendo hicho. (Sauti ya Guterres) "Nimeshtushwa na habari na video vinavyoonyesha wahamiaji wa Afrika wakiripotiwa kuuzwa kama [...]

20/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Haki ya tiba yaongeza wanaopata dawa kupunguza makali ya VVU-Ripoti

Kusikiliza / Takribani watu milioni 21 hivi sasa wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi, VVU wanapatiwa matibabu. Picha: UNAIDS

Kuelekea siku ya Ukimwi duniani tarehe mosi mwezi ujao, imeelezwa kuwa takribani watu milioni 21 hivi sasa wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi, VVU wanapatiwa matibabu. Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na vita dhidi ya Ukimwi, UNAIDS limesema hay oleo katika ripoti yake mpya ikisema idadi hiyo ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na watu 685,000 mwaka [...]

20/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WFP yapokea dola milioni 5 toka HNA, kusaidia wakimbizi Syria

Kusikiliza / Misaada ya kibinadamu ikipokelewa Syria baada ya kuwasilishwa na msafara wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na shirika la hilal nyekundu la Syria, SARC. (Picha:WFP)

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP leo  limetangaza kupokea dola milioni 5 kutoka shirika la misaada ya kibinadamu la China HNA ili kuwasaidia wakimbizi wa Syiria walioko  Uturuki,  na Lebanon kwa miaka mitatu ijayo  katika ubia mpya. Ushirikiano huu kati ya WFP na HNA ulitiwa saini baina ya Mkurungezi mkuu wa WFP David Beasley [...]

20/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mexico komesheni ubaguzi dhidi ya watu wa asili:UM

Kusikiliza / UM umeitaka serikali ya Mexico kuhakikisha inafikia uhusiano wenye usawa na heshima na watu wa asili. Picha: UM

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watu wa asili Tauli-Corpuz ameitaka serikali ya Mexico kuhakikisha inafikia uhusiano wenye usawa na heshima na watu wa asili ili kukomesha hali inayoendelea ya ukiukwaji wa haki za binadamu za watu wa asili. Amesema anatambua na kupongeza hatua za kimataifa za kuiweka ajenda ya haki za watu wa [...]

20/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Maendeleo ya viwanda Afrika yaende sanjari na ajenda 2030: Guterres

Kusikiliza / Uwekezaji madhubuti katika miundombinu baina ya nchi utasaidia kuboresha biashara na kuinua uwezo wa viwanda barani Afrika. Picha: UM

Uwekezaji madhubuti katika miundombinu baina ya nchi utasaidia kuboresha biashara na kuinua uwezo wa viwanda barani Afrika. Hilyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake kuhusu siku ya maendeleo ya viwanda barani Afrika ambayo huadhimishwa kila mwaka Novemba 20. Ameongeza kuwa kuchagiza teknolojia zinazojali mazingira na kutumia kiwango [...]

20/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mitaji isiyoshikika yachangia dola trilioni 5.9- WIPO

Kusikiliza / Mitaji isiyoshikika kama vile teknolojia, nembo na chapa ambayo huchangia katika kukamilisha bidhaa hadi imfikie mlaji. Picha: WIPO

Mitaji isiyoshikika kama vile teknolojia, nembo na chapa ambayo huchangia katika kukamilisha bidhaa hadi imfikie mlaji imeelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika gharama anayolipia mlaji. Selina Jerobon na ripoti kamili (Taarifa ya Selina) Hiyo ni kwa mujibu wa shirika la hakimiliki la Umoja wa Mataifa, WIPO katika ripoti yake ya kwanza kabisa iliyochapishwa hii leo [...]

20/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO yalaani daktari wake kutekwa huko Libya, yataka aachiliwe haraka

Kusikiliza / Picha@UN WHO

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limethibitisha kutekwa kwa daktari wake mmoja kutoka kituo cha afya cha Sabha kilichoko mji wa Sabha kusini mwa Libya. Kufuatia ripoti hizo, WHO imelaani vikali kitendo hicho ikitaka wahusika wa utekaji nyara wahakikishe usalama wake na aachiliwe huru mara moja. Katika taarifa yake WHO imesema utekaji nyara wahudumu wa afya [...]

20/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Hatima ya watoto milioni 180 mbaya kuliko wazazi wao: UNICEF

Kusikiliza / Watoto wa shule ya msingi nchini Ghana wacheza wakionyesha furaha  na matumaini. Picha: UNICEF Ghana

Licha ya hatua zilizopigwa kimataifa, mtoto 1 kati ya 12 duniani wanaishi katika nchi ambazo matarajio yao leo ni mabaya kuliko ya wazazi wao, kwa mujibu wa tathimini iliyofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya watoto duniani yanayofanyika leo. Tathimini hiyo inasema watoto milioni [...]

20/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Viwanda ni muhimu kwa maendeleo ya Afrika:UNIDO

Kusikiliza / Siku ya maendeleo ya viwanda Afrika ambao huadhimishwa kila mwaka Novemba 20. Picha na UM/UNIDO

Leo ni siku ya maendeleo ya viwanda barani Afrika, kauli mbiu ikiwa "Maendeleo ya viwanda Afrika ni moja ya sharti la kuwa na eneo huru la biashara yenye ufanisi na endelevu (CFTA)". Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO  lengo la siku ya mwaka huu ni kuchagiza umuhimu wa [...]

20/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031