Nyumbani » 19/11/2017 Entries posted on “Novemba 19th, 2017”

Vyoo vinaokoa maisha, kinyesicho chenda wapi?:UM

Kusikiliza / Watoto wa shule wakienda kujihifadhi chooni katika jitihada za kudumisha usafi. Picha na UM

Vyoo vinaokoa maisha kwa sababu kinyesi cha binadamu husambaza magonjwa yanayokatili maisha ya watu wengi. Leo ikiwa ni siku ya choo duniani Umoja wa mataifa unasema watu bilioni 4.5 wanaishi bila vyoo vya kuhifadhi uchafu wao, hivyo sikuu hii ni ya kuhamasisha kuchukua hatua ili kukabiliana na tatizo la usafi duniani. Kauli mbiu ya mwaka [...]

19/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031