Nyumbani » 15/11/2017 Entries posted on “Novemba 15th, 2017”

Tuna imani na operesheni za ulinzi wa amani za UM:Trudeau

Kusikiliza / Mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa nchi wachangiaji wa vikosi kwenye Umoja wa Mataifa ukikunja jamvi Vancouver Canada. Picha na UM/Matthiew wells

Ulinzi wa amani una uwezo wa kuibadili dunia lakini ubunifu wa hali ya juu unahitajika ili kuzifanya operesheni za Umoja wa Mataifa kuwa na ufanisi katika miaka ijayo. Hayo ni kwa mujibu wa waziri mkuu wa Canada , Justin Trudeau,katika hotuba yake kwenye mkutano wa umoja wa Mataifa wa mawaziri wa ulinzi unaokuja jamvi leo [...]

15/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Serikali ya DRC yatakiwa kuheshimu haki na uhuru wa kukusanyika -Zeid

Kusikiliza / DRC

kamishina mkuu wa  Haki za Binadamu  wa Umoja wa Mataifa  Zeid Ra’ad Al Hussein ametoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kusitisha vitisho na hofu dhidi ya watu wanaoandamana leo kote nchi na kuitaka serikali kuhakikisha usalama wa wananchi katika misingi ya haki za binadamu chini ya sheria za kimataifa. Baada   ya [...]

15/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ni lazima vijana washirikishwe majadiliano ya SDGs-Rita

Kusikiliza / Kijana Rita Kimani wa FarmDrive kutoka Kenya alipohojiwa na UN News Kiswahili. Picha na UN News Kiswahili/Patrick Newman.

Vijana wana mchango mkubwa katika kufanikisha malengo ya maendeleo endevu yaani SDGs kwa sababu ya msukumo na ubunifu wao' hiyo ni kauli ya Rita Kimani, kijana kutoka Kenya ambaye ni mwanzilishi mwenza wa kampuni ya FarmDrive nchini humo  inayosaidia kuunganisha wakulima wadogo wadogo na fursa za mikopo bila kuhitaji dhamana. Pia yeye ni mmoja wa [...]

15/11/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Bado kuna watoto milioni 152 wanatumikishwa katika ajira duniani:ILO

Kusikiliza / Mkutano wa nne wa ILO wafanyika Argentika kutokemza kabisa ajira kwa watoto ifikapo 2025. Picha na ILO

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kazi duniani ILO Guy Ryder ameonya kwamba bado kuna watoto milioni 152 ambao ni wahanga wa ajira ya watoto kote duniani . Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa nne wa kimataifa wa kutokomeza ajira ya watoto duniani mjini Buenos Aires, Argentina , ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kushirikiana [...]

15/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Tuhamasishe sekta binafsi kudhibiti hewa chafuzi- Guterres

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akihutubia leo mkutano wa COP23 mjini Bonn Ujerumani. Picha na UM

Kikao cha ngazi ya juu cha mkutano wa 23 wa nchi wanachama wa mabadiliko ya tabianchi, COP23 kimeanza leo huko Bonn, Ujerumani kikitoa fursa kwa viongozi wa Umoja wa Mataifa, wawakilishi wa serikali, makundi ya kiraia kupazia sauti zao mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Miongoni mwao ni mtoto kutoka kisiwa cha Fiji, waandaji [...]

15/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jukwaa kufanyika Geneva kujadili haki za binadamu kwenye sekta ya biashara

Ajira kwa watoto ni moja ya jambo ambalo litaangaziwa kwenye mkutano huo huko Geneva, Uswisi. (Picha:ILO)

Umoja wa Mataifa umeandaa mkutano ambao kwao washiriki watajadili ni kwa jinsi gani kampuni za biashara zitazingatia haki za  binadamu pindi zinapotekeleza shughuli zao. Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Zeid Ra'ad Al Hussein amesema mkutano huo utafanyika Geneva, Uswisi tarehe 27 hadi 29 mwezi huu ukileta pamoja wawakilish kutoka kampuni [...]

15/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

MINUSMA itafanikiwa nchini Mali ikiwezeshwa: Deconinck

Kusikiliza / Kamanda mkuu wa vikosi vya MINUSMA nchini Mali , Meja Jenerali Jean-Paul Deconnick. Picha na UM/ Matthiew Wells

Kamanda mkuu wa mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Mali (MINUSMA) ulioghubikwa na madhila ikiwemo idadi kubwa ya vifo, upungufu wa vifaa na wafanyakazi ameahidi kufanikiwa endapo atapatiwa nyenzo zinazohitajika katika kazi yake. Kamanda huyo wa (MINUSMA), Meja Jenerali Jean-Paul Deconinck, ameyasema hayo katika mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mawaziri wa [...]

15/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mbinu bunifu ya mawasiliano yampatia tuzo ya Umoja wa Mataifa

Kusikiliza / Meja Block2

Mlinda amani kutoka Afrika Kusini, Meja Seitebatso Pearl Block leo ametunukiwa tuzo ya mchechemuzi wa mwaka ya Umoja wa Mataifa katika masuala ya jinsia. Meja Block ambaye amekuwa anahudumu katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO ameshinda tuzo hiyo baada ya kubuni mbinu rahisi inayoweza kuwafikishia wananchi taarifa [...]

15/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tumejizatiti kuendelea na ulinzi wa amani wa UM- Tanzania

Kusikiliza / TZBATT-2

Tanzania imesema ni matumaini yake kuwa mkutano wa mawaziri wa ulinzi huko Vancouver Canada utafungua njia zaidi ya kuboresha operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa. Akihojiwa na Idhaa ya Umoja wa Mataifa kandoni mwa mkutano huo, Waziri wa Tanzania wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  Dkt. Hussein Mwinyi amegusia masuala ya [...]

15/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031