Nyumbani » 12/11/2017 Entries posted on “Novemba 12th, 2017”

Huduma za kibinadamu ziruhusiwe bila vikwazo Ghouta:WHO

Kusikiliza / Wakimbizi wa Syria katika msimu wa baridi. Picha: UM

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema watu wapatao 400,000 wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu ikiwa ni pamoja na afya na usalama katika eneo la Ghouta Mashariki mwa Damascus mji mkuu wa Syria. WHO imesema katika eneo hilo watu  240 wanahitaji huduma ya dharura ikibidi kuhamishwa haraka kwa ajili ya matibabu. Bi Elizabeth Hoff, ambaye ni [...]

12/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwanamke ana mchango mkubwa katika utunzaji wa mazingira:COP23

MWanamke na mazingira. (Picha: IFAD/Dela Sipitey)

Wakati mkutano wa 23 wa mabadiliko ya tabianchi wa Umoja wa Mataifa, COP 23, ukiingia wiki ya mwisho ya majadiliano mjini Bonn, Ujerumani, Rais wa mkutano huo leo jumapili ametangaza mpango wa utekelezaji wa kijinsia kwa kutambua nafasi ya wanawake katika suala la mabadiliko ya tabianchi Akizungumza na waandishi wa habari Frank Bainimarama, ambaye pia ni waziri mkuu [...]

12/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031