Nyumbani » 05/11/2017 Entries posted on “Novemba 5th, 2017”

Guterres asikitishwa na kujiuzulu kwa waziri mkuu wa Lebanon

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres.(Picha:UM/Mark Garten)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameleezea wasiwasi wake kuhusu taarifa za kujiuzulu kwa waziri mkuu wa Lebanon Saad Hariri. Kupitia kwa taarifa ya msemaji wa Katibu Mkuu, Guterres ameelezea matumaini yake kwamba pande husika zitaelekeza juhudi katika kusaidia uendelezaji wa taasisi za kitaifa za Lebanon kwa mujibu wa katiba katika lengo la [...]

05/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kwa Haiti- Mohammed

Kusikiliza / Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed akiwa ziarani nchini Haiti.(Picha:MINUJUSTH)

Sasa hivi gilasi ni nusu na ni wajibu wetu kuijaza, hiyo ni kwa mujibu wa naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J Mohammed akizungumza nchini Haiti wakati wa ziara yake nchini humo. Naibu Katibu Mkuu huyo amesema licha ya kwamba kulikuwa na doa katika udhibiti wa mlipuko wa kipindupindu Haiti lakini Umoja wa [...]

05/11/2017 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Madhara ya tsunami ni makubwa licha ya uhaba wa matukio

Kusikiliza / Uharibifu uliosababishwa na Tsunami ya bara Hindi katika eneo la Sri Lanka mwaka 2005. (Picha:UM/Evan Schneider_maktaba)

Leo Novemba tano ni siku  ya kimataifa ya kuhamasisha dunia kuhusu athari za Tsunami, ikiwa ni mwaka wa pili wa maadhimisho hayo yanayolenga kupunguza idadi ya watu wanaoathiriwa na majanga kote ulimwenguni ifikapo 2030. Visa vya tsunami licha ya kwamba havifanyiki mara kwa mara lakini vina madhara makubwa huku ikielezwa kuwa katika kipindi cha miaka [...]

05/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031