Nyumbani » 03/11/2017 Entries posted on “Novemba 3rd, 2017”

Mtaalam huru wa haki za binadamu kuchunguza unyanyasaji wa watoto nchini Laos

Kusikiliza / UNHRC Logo

Mtaalam huru wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa atafanya ziara rasmi kkatika Jamhuri ya Kidemokrasia ya  Laos kuanzia tarehe  8 hadi 16 Novemba ili kuchunguza  unyanyasaji wa watoto nchini  humo. Bi Maud de Boer-Buquicchio, amabye ni mtaalam huru wa haki za binadamu amesema anashukuru  mwaliko wa serikali ya Laos katika jitihada za kuwasaidia [...]

03/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mwanamuziki 'Double D' wa DRC atumia muziki kukemea ukatili wa kingono

Kusikiliza / Dube David

Ukatili wa kingono kwenye maeneo ya mizozo ni jambo ambalo Katibu Mkuu wa sasa wa Umoja wa Mataifa António  Guterres ameazimia kukabiliana nalo. Bwana Guterres ameguswa zaidi na vitendo hivyo kwa kuzingatia pia baadhi yao vinatekelezwa na walinda amani wa Umoja wa Mataifa kwenye maeneo ambako wanalinda amani. Tayari amechukua hatua hata kwa kuteua mtetezi [...]

03/11/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Muhimu ni kuwajengea waathirika wa ukatili wa kiongono maisha mapya: Connors

Kusikiliza / Wahanga wa ukatili wa kijinsia, nchini DRC. Picha: UM/Marie Frechon

Mtetezi wa Umoja wa Mataifa wa waathirika wa ukatili wa kingono Jane Connors, amesema kundi hilo linachohitaji ni ujenzi wa maisha mapya baada ya kuumizwa na ukatili huo ambao ni kinyume na ubinadamu. Akizungumza na waandishi wa habari mjini New York, Marekani, kutoa tathimini yake ya ziara ya majuma mawili aliyoifanya nchini Jamhuri ya Afrika [...]

03/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO yasaidia Kenya kujikinga dhidi ya virusi vya homa ya Marburg

Kusikiliza / Wahudumu wa WHO wanasaidia Kenya kujikinga dhidi ya virusi vya homa ya Marburg. Picha: WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO linasaidia wizara ya afya ya Kenya kujiandaa katika kudhibiti  kusambaa kwa virus vya homa ya Marburg kutoka nchi jirani ya Uganda. Mamlaka ya afya imeimarisha maandalizi katika kaunti za Transzoia na Pokot Magharibi zinazopakana na Uganda ambako homa hiyo iliripotiwa kulipuka Oktoba 19. Licha ya kwamba hakuna visa viliyoripotiwa nchini [...]

03/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Utapiamlo waongezeka katika kambi ya wakimbizi Kutupalong Bangladesh

Kusikiliza / Mhudumu wa afya anahudumia mtoto mkimbizi wa Rohingya mwenye maradhi ya utapiamlo huku mamae akimbeba. Picha: © UNICEF/LeMoyne

Takwimu za awali za lishe kwa watoto wakimbizi wa Rohingya  zilizokusanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF , wiki iliopita  huko  Kutupalong  Cox's Bazar, Bangladesh zinaonyesha hali ya utapiamlo imeongezeka maradufu. Bwana Edouard Beigbeder ambaye ni mwakilishi wa UNICEF Bangladesh amesema  watoto wa Rohingya walioponea chupuchupu ukikatili huko kaskazini mwa jimbo [...]

03/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Neno la wiki: Kishida na Kibiriti Ngoma

Kusikiliza / Neno la wiki_KISHIDA na KIBIRITI NGOMA

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno "Kishida na Kibiriti Ngoma".  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA. Nuhu anasema “Kishida” ni gauni kifupi au kirinda nyepesi kinachovaliwa usiku na mwanamke au msichana anapolala au kinachovaliwa ndani ya [...]

03/11/2017 | Jamii: Habari za wiki, Neno La Wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya wanaoingia Ulaya kwa njia ya bahari yapungua- IOM

Kusikiliza / Wahamiaji na waliopoteza maisha wakivuka Mediterreanea kuanzia Januari hadi Novemba mwaka 2016_2017. Picha: IOM

Idadi ya wahamiaji wanaongia Ulaya kwa njia ya bahari kuanzia Januari hadi mwezi huu wa Novemba, imepungua ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana. Shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM limesema idadi ya mwaka huu ni wahamiaji takribani laki mbili ilhali mwaka jana katika kipindi kama hicho ilikuwa zaidi ya Laki tatu na [...]

03/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ubaguzi mkubwa unawaghubika wasio na utaifa duniani:UNHCR

Kusikiliza / "Kiongozi mmoja wa kisiasa nchini Kenya aliulizwa jinsi alivyotizama waMakonde na bila aibu mbele ya umati wa watu akajibu kwamba aliona sisi kama Cannibals" Anasema Thomas Nguli, mwenye umri wa miaka 60, kutoka jumuiya ya Makonde nchini humo. Picha: UNHCR

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR inaonya kwamba  ubaguzi, kutengwa na mateso ndio hali halisi kwa watu wengi wasio na utaifa duniani, na inatoa wito wa hatua za haraka kuhakikisha haki sawa za kitaifa kwa wote. John Kibego na taarifa kamili (TAARIFA YA KIBEGO) Ripoti hiyo iliyotolewa leo inasema [...]

03/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Warohingya wanaendelea kukimbilia Bangladesh, mzozo ukiingia mwezi wa tatu

Kusikiliza / Cox Bazar IOM

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR na wadau wanatoa misaada na makazi kwa wakimbizi wa Rohingya ambao waliwasili Bangladesh. Wamesema wakimbizi 3,000 waliwasili katika mpaka wa Anjuman Para kati ya Jumatano na Alhamisi asubuhi wiki hii. Flora Nducha na taarifa kamili (TAARIFA YA FLORA) UNHCR inasema pindi wakimbizi wanapowasili wanaelekezwa katika kambi [...]

03/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP yapokea dola million 5 kutoka China kusaidia wakimbizi wa Jamhuri ya Congo na CAR

Kusikiliza / Wakimbizi wa ndani nchini CAR. Picha: WFP

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limepokea mchango wa dola milioni 5 kutoka China ili kutoa usaidizi wa dharura wa chakula na lishe kwa wakimbizi  wa ndani  huko Jamhuri ya Congo-Brazaville na  Jamhuri ya Afrika ya kati,  CAR. Sixi Qu ambaye ni mwakilishi wa WFP China amesema watu zaidi ya 280,000 kutoka nchi hizo [...]

03/11/2017 | Jamii: Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Wasaka hifadhi huko kisiwa cha Manus wazidi kuhaha

Kusikiliza / Mmoja wa wasaka hifadhi wa Manus. Picha: OHCHR

Hofu imetanda miongoni mwa wasaka hifadhi waliosalia kwenye kisiwa cha Manus huko Papua New Guinea baada ya Australia ambayo ilikuwa inaendesha kituo hicho kutangaza kukifunga na wafanyakazi wake kuondoka. Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu ya watu hao wapatao 600 waliosalia kwenye kisiwa hicho ambao [...]

03/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031