Nyumbani » 01/11/2017 Entries posted on “Novemba 1st, 2017”

Wanawake wajasiriamali wanahitaji fursa, sio zawadi

Kusikiliza / Mwanamke mjasiriamali nchini Senegal.(Picha:UNIDO/Video Capture)

Katika jitihada za kukuza biashara zao, wanawake wajasiriamali wanatafuta fursa na sio kusubiri kupewa zawadi, amesema afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO. Adot Killmeyer-Oleche, mkuu wa taasisi ya UNIDO na uwezeshaji wa maendeleo ameyasema hayo katika majadiliano kuhusu wanawake na viwanda yanayofanyika mjini Manama Bahrain kama sehemu ya jukwaa [...]

01/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Nchi 191 zaunga mkono kuondolewa Cuba iondolewe vikwazo, Marekani na Israeli wapinga

Kusikiliza / asamblea_general_sala

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mjadala wa wazi kuhusu umuhimu wa kuondoa vikwazo vya kiuchumi, kibiashara na kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Cuba. Kura ya leo ambayo imepigwa kwa miaka 26 mfululizo imepitishwa na nchi 191 wakiunga mkono kuondolewa kwa vikwazo hivyo huku Marekani na Israeli wakipinga azimio hilo, safari [...]

01/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Huduma ya bure ya magari ya kubeba wagonjwa yanasuru maisha Somalia-UNSOM

Kusikiliza / Gari la kubeba wagonjwa nchini Somalia.(Picha:UNIfeed/Video Capture)

Baada ya shambulio la kigaidi la hivi karibuni mjini Mogadishu  nchini Somalia, kampuni binafsi ya magari ya kubeba wagonjwa ijulikanayo kama Aamin Ambulance ilisaidia sana kubeba majeruhi na kuwakimbiza hospitali umesema mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNSOM. Kunapotokea shambulio la bomu watu wengi hukimbia ili kunusru maisha yao kutoka eneo la tukio lakini wafanyakazi [...]

01/11/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Guterres asikitishwa na shambulio la New York

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres.(Picha:UM/Mark Garten)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres ameelezea kusikitishwa na kutiwa hofu na shambulio llilofanyika jijini New York Marekani Jumanne, katika mji ambao ndiko  makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Kupitia taarifa iliyotolewa na msemaji wake, Bwana Guterres ametuma salamu zake za rambi rambi kwa familia za wahanga na kuwatakia afueni ya haraka majeruhi. Kwa [...]

01/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kufanikisha SDG's lazima tuwekeze katika viwanda na ujasiriliamali:UNIDO

Kusikiliza / Naibu Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO, Bwana Hiroshi Nikiyoshi, akiwa kwenye jukwaa la uwekezaji katika ujasiriliamali kwa ajili ya maendeleo nchini Bahrain. Picha na May Yaacoub: UN News

Uwekezaji katika ujasiriamali ni muhimu katika kufanikisha lengo nambari 9 la maendeleo endelevu la kuwa na miundombinu imara, kuchagiza viwanda endelevu na kukuza ubunifu, amesema leo naibu mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO, Hiroshi Kuniyoshi. Akizungumza na UN News katika jukwaa la kimataifa la uwekezaji katika ujasirialia mali [...]

01/11/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Umeme wasalia ndoto kwa wakazi wengi Afrika – Guterres

Kusikiliza / Mapishi kwa mkaa2

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesihi serikali zichukue hatua kuhakikisha kila mtu anapata huduma ya nishati salama iwe ya kupikia au ya kuangazia mwanga. Bwana Guterres amesema hayo leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani wakati akihutubia warsha kuhusu ushirikiano wa matumizi ya nishati duniani kwa lengo [...]

01/11/2017 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Vijana kushiriki kilimo si kosa- Restless Development sehemu 2

Kusikiliza / Vijana wakishiriki kilimo nchini Kenya.(Picha:IFAD/Video capture)

Vijana vijana vijana! Umoja wa Mataifa unasema ndio muarobaini wa kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs. Na ni kwa mantiki hiyo wakati wa mikutano ya ngazi ya juu ya mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, vijana kutoka pande mbalimbali za dunia walifika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, [...]

01/11/2017 | Jamii: Mahojiano, Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO na MONUSCO wasaidia wahanga wa kipindupindu DRC

Kusikiliza / MONUSCO2

Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, shirika la afya ulimwenguni WHO na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, MONUSCO wamewasilisha dawa kwa wahanga wa mlipuko wa ugonjwa kipindupindu kwenye eneo la Walikale, jimbo la Kivu Kaskazini, ugonjwa ambao umesababisha vifo vya watu 29 ndani ya wiki tatu. Usaidizi huo unaofuatia ombi kutoka serikali [...]

01/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tume ya haki za binadamu CERD kujadili changamoto za ubaguzi wa rangi

Kusikiliza / Crickley 1

 Tume ya  haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa  inayopiga vita ubaguzi wa rangi CERD imesema chimbuko la  ubaguzi wa rangi, ambalo ni matokeo ya ukoloni, pamoja matukio mbali mbali yanayotokea duniani hivi sasa toka kwenye makundi yenye msimamo wa kibaguzi, yanazidi kuchochea  ubaguzi wa rangi ulimwenguni kote. Akizungumza katika kikao cha 72 cha bazaka [...]

01/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Gharama ya dawa za hepatitis C bado ni changamoto kwa wengi:WHO

Kusikiliza / Vita dhidi ya homa ya ini. Picha: WHO

Mkutano wa dunia wa homa ya ini mwaka 2017 umeanza rasmi leo mjini Sao Paulo nchini Brazili na kuwaleta pamoja wadau wa afya wakiwemo wataalamu, watafiti, maafisa wa afya na wawakilishi wa asasi za kiraia kutoka nchi mbalimbali kujadili matatizo ya kimataifa ya afya yanayochangiwa na virusi vya homa ya ini. Kwa mujibu wa shirika [...]

01/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mfumo wa kuadabisha watoto majumbani ni mwiba kwa watoto – UNICEF

Kusikiliza / Watoto wahofia walezi na wazazi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNCEF limetoa ripoti mpya  ya kuhusu unyanyasaji na ukatili dhidi ya watoto ikiwa ni uchunguzi wa kina katika masuala ya ukiukwaji wa haki za msingi za mtoto. Claudia Cappa  ambaye ni mtaalamu wa takwimu wa UNICEF na mwandishi wa ripoti hiyo amesema wamebaini watoto wananyanyaswa shuleni,  nyumbani na mara nyingi [...]

01/11/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031