Vijana katika malengo ya maendeleo Afika ni chachu ya mafanikio:EAC

Kusikiliza /

Bwana Charles Njoroge naibu Katibu Mkuu wa shirikisho la kisiasa katika jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akihojiwa na UN News Kiswahili mjini New york Marekani. Picha na UN News Kiswahili/ Grace Kaneiya

Vijana sio tu taifa la kesho, bali pia ni muhimili wa leo katika kutimiza ajenda ya umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu SDG's na ajenda ya Afrika ya 2063.

Hayo ni kwa mujibu wa Bwana Charles Njoroge naibu Katibu Mkuu wa shirikisho la kisiasa katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) anayehudhurika mikutano ya wiki ya Afrika inayoendelea kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa hapa New york.

Moja ya ajenda katika mikutano hiyo ni uwezeshaji wa vijana, Bwana Njoroge anasisitiza

(NJOROGE CUT 1)

Kuhusu hatua wanazochukua amesema

(NJOROGE CUT 2)

Na nini matarajio yake katikawiki hii?

(NJOROGE CUT 3)

 

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930