Tanzania yapongeza usaidizi wa UM nchini humo

Kusikiliza /

Mradi wa kilimo cha umwagiliaji ulioanzishwa na UNDP kwa ushirikiano na serikali la Tanzania umesaidia wakulima ma maembe kuongeza mazao na hatimaye riziki. Picha: UNDP

Kuelekea siku ya Umoja wa Mataifa hapo kesho Oktoba 24, serikali ya Tanzania imepongeza mchango mkubwa wa chombo hicho katika kufanikisha maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Assumpta Massoi na taarifa kamili.

(Taarifa ya Assumpta)

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa nchini Tanzania Dkt. Susan Kolimba ametoa pongezi hizo akihojiwa na kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini humo, UNIC akitolea mfano usaidizi wa kifedha wa kupambana na ukatili wa kijinsia..

(Sauti ya Dkt. Susan)

Halikadhalika amezungumzia mpango wa usaidizi kwenye maeneo ya wakimbizi huko Kigoma akisema.

(Sauti ya Dkt. Susan)

 

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930