Neno la wiki: Shimizi

Kusikiliza /

Neno la wiki_SHIMIZI

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia neno “Shimizi”.  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Nuhu anasema Shimizi ni vazi ya siri ambayo wanawake wanalivalia ndani ya nguo ama wanavaa wakati wanalala. Amesema ni aina fulani ya rinda inachovaliwa kwenye sehemu ya mabega hadi magotini….na anailinganisha na vesti inayovaliwa na wanaume..

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930