Nyumbani » 21/10/2017 Entries posted on “Oktoba 21st, 2017”

Guterres na Trump wajadili usalama duniani

Kusikiliza / Antonio-Guterres-na-Rais-Dolnad-Trump

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekuwa na mazungumzo na Rais Donald Trump wa Marekani kwenye Ikkulu ya nchi hiyo huko Washington DC ambapo wamejadili mambo kadha wa kadha ikiwemo utendaji thabiti wa Umoja wa mataifa na marekebisho ya chombo hicho. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imesema katika mazungumzo hayo ya [...]

21/10/2017 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Baraza la usalama la UM limelaani mashambulizi ya kigaidi El Wahat Misri

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.(Picha:UM/JC McIlwaine)

Wajumbe wa Baraza la Usalama wa Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea tarehe 20 Oktoba katika jangwa la El Wahat Misri, na kukatili maisha ya watu kadhaa wa vikosi vya usalama na wengi wao kujeruhiwa. Baraza hilo limetuma salamu za rambirambi kwa serkali ya Misri na kwa familia za waathirika huku ikiwatakia [...]

21/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930