Nyumbani » 18/10/2017 Entries posted on “Oktoba 18th, 2017”

Elimu barani Afrika iendane na mahitaji yetu- AU

Kusikiliza / Victor-1

Muungano wa Afrika umesema harakati za kujinasua katika lindi la umaskini barani zitafanikiwa iwapo elimu itakidhi mahitaji ya sasa. Victor Harrison ambaye ni kamishna wa Tume ya Muungano wa Afrika, AU amesema hayo jijini New York, Marekani wakati akihutubia kikao cha ngazi ya juu cha jinsi ya kushirikisha vyema vijana ili kusongesha maendeleo ya Afrika. [...]

18/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ziara yangu CAR ni kuhusisha wadau ili kupunguza madhila kwa raia

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antionio Guterres. Picha: UM/Manuel Elias (maktaba)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres ametangaza leo kwamba mapema wiki ijayo atazuru nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ambako atasherehekea siku ya Umoja wa Mataifa  na mpango wa opresheni za amani nchini humo MINUSCA ili kuwawenzi walinda amani kote duniani. (GUTERRES CUT 1) "walinda amani wanaonyesha ujasiri mkubwa katika mazingira hatarishi na [...]

18/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hispania kushirikiana na UM katika kampeni ya usafi wa bahari

Kusikiliza / Taka zilizopo kando ya bahari. Picha: UM

Serikali ya Hispania imetangaza rasmi leo kuunga mkono Umoja wa Mataifa  katika kampeni ya usafi wa bahari katika hafla ya  mashindano ya bahari yajulinkanao kama Volvo ocean Race, yaliofanyika  Alicante. Bw.Raquel Orts Nebot, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya pwani na Bahari nchini Hispania amethibitisha jitahada za taifa hilo kubwa na muhimu [...]

18/10/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Makubaliano Palestina ni muhimu kwa ajili ya amani endelevu- Jenča

Kusikiliza / Katibu Mkuu kuhusu maswala ya kisiasa Miroslav Jenča akihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Picha: UM/Rick Bajornas (maktaba)

"Rais na wanachama wa Baraza la Usalama, kikao cha leo ni muhimu kwani kinalenga kumaliza mzozo wa takriban muongo mmoja wa mgawanyiko nchini Palestina na kurejesha Gaza kwa uongozi halali wa mamlaka Palestina." Hivyo ndivyo ilivyoanza hotuba yakeMsaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu maswala ya kisiasa Miroslav Jenča akihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa [...]

18/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sekta ya mafuta na gesi yatoa fursa ya ajira kwa vijana Uganda-Sehemu ya Pili

Kusikiliza / Uchimbaji wa mafuta Buliisa Uganda.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/John Kibego)

Wakati vijana wakikabiliwa na ukosefu wa ajira katika nchi nyingi, yaelezwa kuwa ni muhimu vijana wajifunze stadi mbalimbali ili waweze kupata ajira hususan katika sekta isiyo rasmi. Nchini Uganda kufuatia ugunduzi wa mafuta kumekuwa na mahitaji ya waajiriwa katika sekta hiyo. Lakini je kuna uwezekano wa vijana kuwa na stadi zinazohitajika kupata ajira katika sekta [...]

18/10/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya watoto waliounganishwa na familia zao Sudan Kusini yafikia 5000

Kusikiliza / Harakati za kuunganisha watoto na familia zao nchini Sudan Kusini. Picha: UNICEF(maktaba)

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema zaidi ya watoto 5000 wameunganishwa na familia zao tangu mzozo uibuke nchini Sudan Kusini mwezi disemba mwaka 2013,. UNICEF imesema katika taarifa yake kuwa idadi hiyo imefikia hivi karibuni baada ya mtoto wa 5,000 mwenye umri wa miaka 17 ambaye alitoroka mji wa Tombura ulioko [...]

18/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

MINUSCA imelaani ghasia eneo la Pombolo na kutuma vikosi vyake

Kusikiliza / Raia waliotawanywa na mashambulizi huko Pombolo CAR. Picha: MINUSCA

Ujumbe wa umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, MINUSCA umepokea taarifa za ghasia katika eneo la Pombolo, kata ya Lower Kotto Kusini mwa nchi hiyo. MINUSCA imelaani ukatili unaoshuhudiwa eneo hilo ambako hakuna askari wa MINUSCA. Na kufuatia ghasia hizo MINUSCA imesema inafanya kila iwezalo ili kuwafikia majeruhi  na hivyo imetuma [...]

18/10/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

FAO yazindua mradi wa dola milioni 98 kukabiliana na ugonjwa wa mnyauko wa migomba

Kusikiliza / Mkulima anavuna ndizi kutoka shambani mwake. Picha: FAO

FAO yazindua mradi wa dola milioni 98 kukabiliana na ugonjwa mnyauko wa migomba Shirika la chakula na kilimo duniani FAO limezindua mradi wa kimataifa utakaogharimu dola milioni 98 kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa mnyauko wa migomba, TR4. Assumpta Massoi na ripoti kamili. (Taarifa ya Assumpta) Ugonjwa huo wa mnyauko wa migomba unasababishwa na [...]

18/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Machafuko yasiokwisha Yemen yatishia elimu kwa watoto million 4.5

Kusikiliza / Wanafunzi waliotawanywa na migogoro wang'ang'ania kupata nafasi ya kuingia darasani katika shule ya kijiji kaskazini mwa Yemen. Picha; UNICEF

Zaidi ya miaka miwili na nusu ya machafuko nchini Yemen kwa mara nyingine yameiweka elimu ya watoto milioni 4.5 njia panda, na hivyo kuongeza orodha ya madhila yanayowakabili watoto. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF , robo tatu ya waalimu hawajalipwa mishahara yao kwa karibu mwaka sasa na machafuko [...]

18/10/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

AMISOM yakusanya damu kusaidia wahanga wa shambulio Somalia

Kusikiliza / Baadhi ya Walinda Amani nchini Somalia wamejitolea kuto damu kwa ajili ya waathirika wa mashambulizi ya bomu nchini humo. Picha: AMISOM

Kufuatia shambulio la kigaidi lililofanywa na Al Shabaab huko Mogadishu, Somalia Jumamosi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 300 na wengine zaidi ya 500 kujeruhiwa, ujumbe wa Muungano wa Afrika nchini humo, AMISOM umeendesha kampeni ya utoaji damu ili kusaidia majeruhi. Selina Jerobon na taarifa kamili. (Taarifa ya Selina) Nats.. Eneo liitwalo makutano ya kilometa [...]

18/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sera za IMF za ukopeshaji zinadumaza maendeleo- de Zayas

Kusikiliza / Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu uendelezaji wa demokrasia na utulivu wa kimataifa Alfred de Zayas akihutubia Baraza Kuu la UM. Picha: UM/Eskinder Debebe

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu uendelezaji wa demokrasia na utulivu wa kimataifa Alfred de Zayas ameonya kuwa sera za ukopeshaji za shirika la fedha duniani, IMF zinasigina baadhi ya vipaumbele vya haki za binadamu na maendeleo. Bwana de Zayas amesema hayo akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani akisema [...]

18/10/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UNFPA yatoa mafunzo kuhusu ukatili wa kijinsia kwa wathirika wa vimbunga

Kusikiliza / UN Photo/Rick Bajornas

Mjumbe maluum wa maswala ya ukatili wa kijinsia (GBV) wa  shirika la Umoja wa Mataifa la idadi wa watu ulimwenguni UNFPA, yupo ziarani katika visiwa vya  Antigua na barbuda kutoa mafunzo kwa watoa huduma na waathirika wa vimbunga wanaokabiliwa na ukatili wa kinjinsia kwenye makambi ya mpito. katika mahojiano na UN News  Bi verena Bruno ambaye [...]

18/10/2017 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930