Nyumbani » 15/10/2017 Entries posted on “Oktoba 15th, 2017”

Leo ni siku ya mwanamke wa kijijini:

Kusikiliza / Mwanamke mkulima akiwa shambani nchini Nepal:Picha na UN Women

Leo ni siku ya mwanamke wa kijijini ambayo huadhimishwa kila mwaka Oktoba 15. Katika ujumbe  maalumu kwa ajili ya siku hii mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake UN Women Phumzile Mlambo Ngcuka amesema wanawake na wasichana ni kiungo muhimu cha maendeleo kijijini kuanzia katika familia zao n hata [...]

15/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM walaani vikali shambulio la kigaidi Moghadishu:

Kusikiliza / Ni hali baada ya shambulio la kigaidi mjini Moghadishu katika Hotel ya  Banadir Beach tarehe 25 August 2016, baada ya bomu lilokuwa kwenye gari kulipuka. Picha na UNSOM

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea jana Jumamosi mjini Moghadishu nchini Somalia. Kupitia taarifa ya msemaji wake iliyotolewa leo Guterres ametuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha na kuwatakia nafuu ya haraka majeruhi. Pia Katibu Mkuu aewapongeza wahudumu wa afya na wakazi wa Moghadishu ambao [...]

15/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930