Nyumbani » 08/10/2017 Entries posted on “Oktoba 8th, 2017”

Nimetiwa moyo na hatua za haraka za jamhuri ya Dominica baada ya vimbunga-Guterres

Kusikiliza / Guterres-Dominica-145big

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amezuru Jamhuri ya Dominica kama sehemu ya ziara yake katika visiwa vya Carribea. Akizungumza na waaandishi wa habari baada ya kushuhudia uharibifu kufuatia vimbunga vilivyokumba visiwa hivyo, Guterres amesema ziara hiyo ni ishara ya mshikamano na watu na serikali ya Dominica. Akilinganisha uharibifu aliyoshuhudia awali ziarani mwake visiwa vya [...]

08/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031