Nyumbani » 06/10/2017 Entries posted on “Oktoba 6th, 2017”

Mikataba mingi ya kutetea haki za wanawake haitekelezwi- Mtaalamu

Kusikiliza / Wanafunzi kutoka Shule ya ukunga huko El Fasher, Darfur Kaskazini, wanahudhuria sherehe iliyoandaliwa na UNAMID kuadhimisha Siku ya Wanawake ya Kimataifa. Picha: UM / Gonzalez Farran

Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili dhidi ya wanawake Dubravka Šimonoviæ,amesema bado mikataba mingi ya kutetea haki za kundi hilo hazitekelezwi. Bi. Šimonoviæ amesema hayo katika ripoti yake aliyowasilishwa mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani kuhusu uwezo wa mifumo ya kimataifa ya kudhibiti ukatili dhidi ya wanawake. [...]

06/10/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Muziki wapazia sauti watu wafanye kazi

Kusikiliza / Msanii Henry Gama kutoka Uganda. Picha: John Kibego

Muziki ni moja ya sanaa zinazotumika kupitisha ujumbe kwa jamii. Wasanii kwa kuona kile kinachoendelea kwenye jamii yao hutunga mashairi na kupangilia ala ili kuhakikisha ujumbe unafika kwa umakini, na kwa kufanya hivyo lengo linakuwa limetimia.Miongoni mwa wanamuziki hao wako nchini Uganda ambako mmoja wao ametumia muziki wake kusihi watu wafanye kazi katika karne hii [...]

06/10/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ushindi wa tuzo ya #Nobel ni kiashiria kuwa NGOs zina nafasi- UM

Kusikiliza / Izumi Nakamistu akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani. Picha:UM/Video capture

Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa António  Guterres amesema ushindi wa tuzo ya amani ya Nobel kwa shirika la kiraia, ICAN, linalofanya kampeni dhidi ya silaha za nyuklia ni utambuzi wa juhudi za raia za kutokomeza silaha hizo. Kupitia taarifa iliyotolewa na msemaji wake, Guterres amesema athari hizo za kibinadamu na mazingira zinazoweza kutokea iwapo [...]

06/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

FAO yasihi nchi zaidi zijiunge na mkataba wa kupinga uvuvi haramu

Kusikiliza / Mwanamke anabeba samaki nyumbani hukoPantufo, Sao Tome na Principe. Picha: FAO

Nchi zote duniani zimetakiwa kujiunga na mkataba wa makubaliano ya bandari ya nchi kwa ajili ya kuunga mkono mkataba wa aina yake unaolenga kukabiliana na uvuvi haramu kama mbinu ya kutokomeza uhalifu huo unaoigharimu dunia mabilioni ya dola na kuharibu lishe na mazingira. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la chakula na kilimo duniani, [...]

06/10/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNHCR yahitaji msaada wa dharura wa zaidi ya milioni 83 kusaidia Warohingya

Kusikiliza / Wafadhili binafsi wa Bangladeshi wachanga pesa, chakula na nguo kutoa msaada unaohitajika kwa wakimbizi wa Rohingya kwenye kituo cha usambazaji wa misaada katika kambi ya wakimbizi ya Kutupalong, karibu na Bazar ya Cox, Bangladesh. © UNHCR / Roger Arnold

Shirika la  Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limetangaza ombi la msaada wa dharura wa dola milioni 83.7  kwa  ajili ya kusaidia mahitaji ya kiusalama kwa wakimbizi  zaidi ya laki 5 wa rohingya walioko nchini Bangladesh. Msemaji wa UNHCR Andrej Mahecic  amesema, msaada huo wa dharura utakaoelekezwa kwenye kambi za Kutupalong na Nyapara, utalenga [...]

06/10/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mkazo zaidi wahitajika kuzuia ukatili dhidi ya watoto vitani :Gamba

Kusikiliza / Bi virginia Gamba mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto. Picha: UM/Cia Pak

Kuna haja ya kusisitiza kuzuia na kukomesha ukatili dhidi ya watoto hususani mauaji na kujeruhiwa kote ulimwenguni. Wito huo umo katika ripoti ya mwaka 2016 kuhusu watoto na vita vya silaha ambayo imetaja kuwa watoto zaidi ya 8000 waliuawa kwenye maeneo yaliyoghubikwa na mizozo mwaka jana . Akichambua yaliyomo katika ripoti hiyo mbele ya waandishi [...]

06/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Neno la wiki_Maafikiano na Mkinzano

Kusikiliza / Neno la wiki_Maafikiano na Mkinzano

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia neno "Maafikiano" na "Mkinzano".  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA. Nuhu anasema neno “maafikiano” ni pale ambapo watu wawili au watatu wanashirikiana kimawazo katika mchango wao kuhusu jambo fulani na “Mkinzano” [...]

06/10/2017 | Jamii: Habari za wiki, Neno La Wiki | Kusoma Zaidi »

Kampeni ya kutokomeza nyuklia yashinda tuzo ya amani ya Nobel

Kusikiliza / Nobel-2

Taasisi ya kimataifa inayoendesha kampeni dhidi ya matumizi ya silaha za nyuklia imeshinda tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka huu wa 2017, hatua ambayo imepokelewa kwa mikono miwili na Umoja wa Mataifa. Flora Nducha na taarifa kamili. (Taarifa ya Flora) Berit Reiss-Andersen, Mwenyekiti wa kamati ya Nobel ya Norway akitangaza kuwa kamati yao imeamua [...]

06/10/2017 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Unyanyapaa kwa wenye VVU bado kikwazo cha kupata huduma : UNAIDS

Kusikiliza / Watu zaidi ya milioni 18 sasa wanapata dawa za kupunguza makali ya ukimwi. Picha: UNAIDS

''Pale watu wanoishi na HIV, au walio katika hali hatarishi ya kupata HIV, wanaponyanyapaliwa katika vituo vya afya, wanadidimia. Hili kwa hakika hudhoofisha juhudi zetu za kuwafikia watu wenye HIV kupima, kutibiwa na huduma za kuzuia'' Amesema Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la mapambano dhidi ya Ukimwi UNAIDS, Michel Sidibé Akizindua ripoti [...]

06/10/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Cameroon chunguzeni mauaji ya raia na wawajibisheni wahusika:UM

Kusikiliza / Picha: WFP/Sylvain Cherkaoui

Serikali ya Cameroon imetakiwa kuhakikisha vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinajizuia na kuchukua hatua za kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi wakati ikikabiliana na makundi ya waandamanaji. Wito huo kutoka ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa umekuja baada ya Jumapili iliyopita watu 10 kuuawa wakati wa maandamano katika eneo la Kusini [...]

06/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Chondechonde jamii ya kimataifa saidieni Daadab na Kakuma- WFP

Kusikiliza / Wakimbizi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya. Picha: UM/Video capture

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limerejelea wito wake kwa jamii ya kimataifa ifadhili operesheni zake kwenye kambi za Daadab na Kakuma nchini Kenya ili kunusuru maisha ya wakimbizi. Afisa mipango wa kitaifa wa WFP nchini Kenya, Fatuma Mohammed ametoa wito huo akihojiwa na Idhaa hii kutoka Daadab nchini Kenya akisema kuwa.. (Sauti ya [...]

06/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930