Nyumbani » 01/10/2017 Entries posted on “Oktoba 1st, 2017”

Zahma ya binadamu inahitaji mshikamano wa kimataifa:Lowcock

Kusikiliza / Mkuu mpya wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA bwana Mark Lowcock, akihutubia waandishi wa habari. Picha:UM/Eskinder Debebe

Dunia hivi sasa imeghubikwa na zahma ya kibinadamu huku kukiwa na watu milioni 145 wanaohitaji msaada wa haraka wa kibinadamu kote ulimwenguni. Amesema hayo mkuu mpya wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA bwana Mark Lowcock. Akizungumza na UN News ameelezea matarajio yake. (LOWCOC CUT 1) [...]

01/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tumieni vipaji vya wazee kufanikisha ajenda 2030- UM

Kusikiliza / OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Leo ni siku ya wazee duniani ambapo ujumbe wa mwaka huu unataka jamii iangazie kusonga mbele huku ikitumia vyema vipaji, mchango na ujumuishaji wa wazee. Hatua hiyo inaendeleza azma ya Umoja wa Mataifa ya kuhakikisha kuwa kila mkazi wa dunia anafanikisha ajenda 2030 ya maendeleo endelevu ya kuona kwamba hakuna anayeachwa nyuma. Umoja wa Mataifa [...]

01/10/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930