Upimaji afya na uzazi wa mpango vitaisaidia kutimiza lengo la afya Uganda

Kusikiliza /

Bi. Sarah Opendi waziri wa afya wa Uganda. Picha: UM/Idhaa ya Kiswahili

Serikali ya Uganda imesema imepiga hatua katika masuala ya afya lakini bado kuna changamoto nyingi . Joseph Msami na tarifa kamili.

(TAARIFA YA MSAMI)

Kauli hiyo imetolewa na waziri wa afya wa nchi hiyo Bi Sarah Opendi akizungumza na idhaa hii kandoni mwa mjadala wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York. Amesema

Watu nchini Uganda  wanahitaji kutambua umuhimu wa kupima afya zao, kuchukua hatua mapema na kupanga uzazi kama taifa hilo la Afrika ya Mashariki linataka kutimiza lengo namba 3 la maendeleo endelevu au SDG's linalohimiza afya bora .

Amesisitiza kuwa mwaka 2030 sio mbali , ndoto ya lengo la afya Uganda itatimia

(SAUTI YA SARAH1)

 

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031