Nyumbani » 19/09/2017 Entries posted on “Septemba 19th, 2017”

Changamoto za sasa zinaweza kutatuliwa kupitia teknolojia- Waziri Amina

Kusikiliza / Waziri wa Kenya wa mambo ya nje, Amina Mohammed akihutubia mkutano kuhusu matumizi ya data na teknolojia katika kufikia. Picha: UM/Video capture

Ukanda wa Afrika umebeba mzigo mkubwa wa madhara ya misimamo mikali na mabadiliko ya tabianchi ambayo yamesababisha ukame wa muda mrefu na uhaba wa chakula ulioathiri takriban watu milioni 2 na mifugo. Hiyo ni kauli ya waziri wa Kenya wa mambo ya nje, Amina Mohammed alipohutubia mkutano kuhusu matumizi ya data na teknolojia katika kufikia [...]

19/09/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UM walaani vikali mashambuli ya Houthi dhidi ya raia Yemen

Kusikiliza / Msemaji wa ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Rupert Colville. Picha: UM

Kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya raia nchini Yeemen, tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani mashambulizi hayo yanayotekelezwa na vikundi washirika vya Houthi, na vikosi vya wanajeshi walio watiifu kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Ali Abdullah Saleh, pamoja na muungano wa wapiganaji unaoongozwa na Saudia. Kwa mujibu wa [...]

19/09/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Serikali DRC walindeni wakimbizi:UNHCR

Kusikiliza / Naibu Mkuu wa MONUSCO David Gressly atembelea Kamanyola. Picha: MONUSCO

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC imetakiwa kuhakikisha ulinzi kwa raia, wakimbizi na waomba hifadhi baada ya tukio la kushtua na kusikitisha kwenye eneo la Kamanyola nchini humo Septemba 15 ambapo watu 39 walipigwa risasi na kuuawa na wengine 94 kujeruhiwa. Wito huo umetolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia [...]

19/09/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Tishio la nyuklia,ujumbe thabiti uonane na Rais wa DPRK- Buhari

Kusikiliza / Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria akihutubia mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa #UNGA72. Picha: UM/Cia Pak

Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amehutubia mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa #UNGA72 akisema kuwa kitisho kikubwa hivi sasa duniani ni nyuklia. Amesema tangu janga la kombora la Cuba mwaka 1962, dunia haijawahi kuwa karibu zaidi na kukumbwa na vita vya nyuklia kama ilivyo sasa kutokana na majaribio ya silaha za [...]

19/09/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Pengo la ujira ni ubaguzi na lazima ukomeshwe: UN Women

Kusikiliza / Mkurugenzi Mtendaji wa UN Women, Phumzile Mlambo-Ngcuka wakati wa uzinduzi wa usawa katika malipo baina ya wanawake na wanaume. Picha: UN Women / Ryan Brown

Pengo la usawa katika malipo baina ya wanawake na wanaume ni ubaguzi ambao unapaswa kupatiwa dawa mujarabu. Wito huo umetolewa na mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa mataifa linalohusika na masuala ya wanawake UN Women,  Phumzile Mlambo Nguca katika mjadala maalumu kwenye baraza Kuu hii leo uliojikita katika hatua za Umoja wa Mataifa katika [...]

19/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vituo vya afya vyazidiwa , wakimbizi wa Rohinga wakiendelea kumiminika Cox's Bazar

Kusikiliza / Mfanyakazi wa UNHCR Hosna Ara Begum, mwenye umri wa miaka 30 anazungumza na wakimbizi wapya wa Rohingya katika Kambi ya Wakimbizi ya Kutupalong. Picha: © UNHCR / Adam Dean

Shirika la Umoja wa mataifa la uhamiaji IOM , serikali ya Bangladesh na mashirika mengine ya misaada wanahaha kuandaa huduma za afya zinazotolewa kwenye magari huko Cox Bazar Bangladesh ili kuwasaidia Warohingya 415, 000 waliokimbia machafuko kwenye jimbo la Rakhine nchini Myanmar wiki tatu zilizopita. Kwa mujibu wa IOM wengi wa wakimbizi hao wametembea kwa [...]

19/09/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Dunia sasa iko vipande vipande- Guterres

Kusikiliza / Mkuu António Guterres akihutubia Bazarza kuu la Umoja wa Mataifa. Picha: UM

Mjadala wa wazi wa kikao cha 72 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa umeanza leo kwenye makao makuu ya Umoja huo jijini New York, Marekani Katibu Mkuu António Guterres akisema dunia hivi sasa imemeguka vipande vipande badala ya kuwa na amani. Assumpta Massoi na taarifa kamili. (Taarifa ya Assumpta) Nats.. Kiashiria hicho cha kuanza [...]

19/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mfumo wa mahakama Burundi hauko huru- Ripoti

Kusikiliza / Familia nchini Brundi watafakari jinsi maisha inavyowapeleka kufutia mizozo (maktaba) . Picha: UN News center

Kamisheni iliyoundwa kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi umebaini kuwa mfumo wa mahakama nchini humo hauko huru hasa baada ya mwezi Aprili mwaka 2015, mahakama iliporuhusu Rais Pierre Nkurunzinza kuwania urais kwa awamu ya tatu. Wakiwasilisha ripoti yake mbele ya Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa huko Geneva, Uswisi  hii leo , [...]

19/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya watu milioni 40 wako utumwani na watoto milioni 152 katika ajira: ILO

Kusikiliza / Watoto na watu wazima katika kazi. Picha: ILO

Utafiti mpya uliofanywa na shirika la kazi duniani kwa ushirikiano na wakifu wa Walk Free, na shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM , umebaini kiwango cha utumwa wa kisasa unaoendelea duniani. Flora Nducha na tarifa kamili (TAARIFA YA FLORA) Takwimu zilizotolewa leo wakati wa mjadala wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa  mjini [...]

19/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kweli Penye nia pana njia: Shida na Hafsa

Kusikiliza / Shida Magunda na Hafsa Mohamed Zuga kutoka Mombasa nchini Kenya. Picha: UM/Idhaa ya Kiswahili

Ama kwa hakika kitu chochote kikitiliwa maanani kitaza matunda. Huo ni mtazamo wa wanawake Shida Magunda na Hafsa Mohamed Zuga kutoka Mombasa nchini Kenya ambao wanajihusisha na miradi ya uhifadhi wa samaki na uhifadhi wa mikoko ambayo mbali ya kulinda mazingira pia inawasaidia kama wanawake kujikimu kimaisha. Flora Nducha wa idhaa hii amepata fursa ya [...]

19/09/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031