Nyumbani » 17/09/2017 Entries posted on “Septemba 17th, 2017”

Bila uwakili wenu malengo ya SDG's hayatofanikiwa:Guterres

Kusikiliza / Malengo ya maendeleo endelevu, SDG's. Picha na UM

Tunatambua kwamba utandawazi na maendeleo ya teknolojia vimeleta faida kubwa duniani , lakini watu wengi bado wamesalia nyuma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antinio Guterres leo alipokutana na mawakili wa malengo ya maendeleo endelevu au SDG's kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Amewaeleza kuwa ajenda ya 2030 na malengo ya [...]

17/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jumuiya ya kimataifa yakaribisha uchaguzi wa rais mpya wa HirShabelle Somalia

Kusikiliza / Wakimbizi wa Somalia wakipewa maelekezo na wafanyakazi wa misaada wa kimataifa. Picha na UNSOM

Umoja wa Mataifa , Muungano wa Afrika, Muungano wa Ulaya , IGAD, Ethiopia, Italia, Sweden, Uingereza na Maekani wamempongeza Mohamed Abdi Ware kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa HirShabelle katika kura iliyopigwa kwenye bunge la jimbo laHirShabelle jana. Kwa mujibu wa mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia UNSOM upigaji kura ulifanyika katika mpangilio ,mchakato wa [...]

17/09/2017 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Watoto 150,000 wa Rohingya kuchanjwa dhidi ya surua, polio na Rubella:

Kusikiliza / Mama mkimbizi wa Rohingya akiwa na mwanae nchini Bangladesh. Picha na Brown/UNICEF

Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella na polio imeanza kwa lengo la kuwachanja watoto wakimbizi Rohingya 150,000 nchini Bangladesh walio chini ya umri wa miaka 15 katika makazi 68 ya wakimbizi karibu na mpaka na Myanmar. Kampeni hiyo ya siku saba inaongozwa na wizara ya afya kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa [...]

17/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuna hatua zimepigwa kukabili unyanyasaji wa kingono-Bi. Holl Lute

Kusikiliza / Jane Holl Lute Mratibu maalumu wa Umoja wa kuboresha mwenendo wa UM kkatika kukabiliana na unyanyasaji na ukatili wa kingono. Picha na UM

Kuwa na mkutano maalumu kuhusu unyanyasaji na ukatili  wa kingono wakati wa mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni hatua kubwa. Hiyo ni kauli ya mratibu maalum wa kuboresha mwenendo wa Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na masuala ya unyanyasaji na ukatili wa kingono Bi Jane Holl Lute. Akizungumza katika mahojiano [...]

17/09/2017 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031