Nyumbani » 15/09/2017 Entries posted on “Septemba 15th, 2017”

Watoto zaidi ya 370,000 wahitaji matibabu ya utapia mlo Kenya-UNICEF

Kusikiliza / Mama akiwa na mtoto wake anayekumbana na maradhi ya utapiamlo aelezea shida zake akiendelea kupambana na baa la njaa nchini Kenya. Picha: UNICEF/Video capture

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema, takriban watoto 370,000 wanahitaji matibabu dhidi ya utapiamlo uliokithiri nchini Kenya kufuatia kiangazi cha muda mrefu kwa sababu ya mvua chache  kati ya Machi na Juni, ikiwa ni msimu wa tatu wa mvua chache tangu mwaka 2016. Shirika hilo limeongeza kuwa mwaka huu watoto wengine [...]

15/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Huku machafuko yakiendelea, ufadhili ni mdogo CAR-UNHCR

Kusikiliza / Wasaka hifadhi wanaendelea kumiminika DRC kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati , kufuatia vurugu, hali mbaya ya usalama na hofu ya mashambulizi. Picha:  © UNHCR / Chiara Cavalcanti

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeelezea kusikitishwa sana na ukatili unaoshuhudiwa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR ambao umesababisha watu kukimbia makwao. Taarifa ya UNHCR inasema idadi ya wakimbizi kutoka CAR waliokimbilia nchi jirani imefika 513,676. Huku watu laki sita ni wakimbizi wa ndani.Licha ya hali hiyo ni asilimia tisa [...]

15/09/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baada ya miaka Mitatu msaafara wa misaada wa UNHCR wawasili Deir Ez-Zor

Kusikiliza / Msafara wa wahudumu wa misaada wa kibinadamu kuelekea Deir Ez-Zor , Siria. Picha: UNHCR

Msafara wa kwanza wa misaada ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, umewasili  katika mji wa  Deir Ez-Zor uliopo  mashariki mwa Syria, baada ya miaka mitatau. UNHCR inasema ,  malori matano ya misaada yaliwasili Deir Ez-Zor jana Septemba 14 baada ya safari ya saa 22 kutoka  kwenye ghala la UNHCR huko Homs. [...]

15/09/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Guterres alaani jaribio lingine la kombora kutoka DPRK

Kusikiliza / jaribio la kombora kutoka DPRK. Picha: UM/Idhaa ya Kiswahili

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani vikali jaribio lingine la nyuklia lililofanywa leo na Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK. Kupitia taarifa iliyotolewa na msemaji wake imemnukuu Katibu Mkuu akisema kwamba jaribio hilo ambalo linakiuka azimio la Baraza la Usalama limekuja siku chache baada ya jaribio la sita la nyuklia [...]

15/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Usasa haujatowesha utamaduni wa ngoma ya Gwoka Guadeloupe

Kusikiliza / Huko Karibea, ngoma ya utambulisho wa wakazi wa kisiwa cha Guadeloupe.
 (PICHA: Ngoma ya Gwoka: UNESCO)

Visiwa vya Guadeloupe vinahakikisha kuwa ngoma yao iitwayo Gwoka inasongesha utamaduni ulioingia visiwani humo karne ya 17 wakati wa biashara ya utumwa. Gwoka ngoma ibebwayo kila kona za kisiwa hicho kinachomilikiwa na Ufaransa ni utambulisho wao wa karne na karne na sasa umeorodheshwa kwenye turadhi za tamaduni zisizogusika za shirika la Umoja wa Mataifa la [...]

15/09/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Neno la wiki: Zawadi

Kusikiliza / Neno la wiki_Zawadi

Wiki hii tunaangazia neno "Zawadi" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania. Je, neno hili lina maana ngapi?  Bwana Sigalla anakuchambualia…. (Sauti ya Bwana Sigalla)

15/09/2017 | Jamii: Habari za wiki, Neno La Wiki | Kusoma Zaidi »

Vita na mabadiliko ya tabianchi yaongeza njaa duniani:UM

Kusikiliza / Mtoto muathirika wa maradhi yasababishwayo na utapiamlo nchini Somali ahudumiwa katika makazi yao nchini Somalia. Picha: UNICEF/Rich

Baada ya kupungua kwa zaidi ya muongo , zahma ya njaa yaongezeka tena duniani , ikiathiri watu milioni 815  mwaka 2016 , imeonya leo ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa. Patrick Newman na maelezo zaidi (TAARIFA YA PATRICK) Ripoto hiyo inayotathimini hali ya uhakika wa chakula na lishe duniani inasema asiliami 11 ya watu wote [...]

15/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya watoto 850,000 hawana huduma za msingi Kasai DRC:UNICEF

Kusikiliza / Huko DRC, muuguzi kutoka hospitali ya Kabea Kamwanga anamgudumia mtoto anayeugua maradhi ya utapiamlo na malaria, madawa yametolewa na UNICEF (Mei 2017). Picha / UNICEF / UN064905

Zaidi ya watoto 850,000 wameachwa bila huduma za msingi wakati huu machafuko baina ya makundi ya wanamgambo na vikosi vya serikali yakiendelea kwenye majimbo ya Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Joseph Msami na taarifa kamili (TAARIFA YA MSAMI) Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF , watu [...]

15/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Usawa wa kijinsia ni nguzo muhimu kwa UM: Menéndez

Kusikiliza / Anna Maria Menendez Mshauri wa ngazi ya juu wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu sera. Picha na UM

Juma hili Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antinio Guterres ametoa muongozo wa kufikia usawa wa kijinsia kwenye Umoja wa Mataifa. Kwa mujibu wa Ana Maria Menéndez,mshauri wa ngazi ya juu wa Katibu Mkuu kuhusu sera, muongozo huo ameutoa kwa sababu ni moja ya vipaumbele vyake na kwamba (ANNA CUT 1) "Mkakati wa usawa wa [...]

15/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031