Nyumbani » 13/09/2017 Entries posted on “Septemba 13th, 2017”

IOM na wadau wazindua kitabu cha mapishi kuchagiza stahmala na wageni

Kusikiliza / IOM lazindua kitabu cha mapishi kiitwacho

Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji, IOM limezindua kitabu cha mapishi kiitwacho "Pamoja" ikiwa ni kampeni ya kukuza na kuchagiza stahmala kwa wahamiaji na wakimbizi duniani kote. Katika hafla hiyo mwakilishi wa shirika hilo ulaya mashariki, mashariki ya kati na Asia Bwana Argentina Szabados  amesema chakula na tamaduni za upishi ni kielelezo kikubwa cha utamaduni [...]

13/09/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Bado kuna changamoto Somalia ingawa hatua zimepigwa: Keating

Kusikiliza / Michael Keating (kushoto kwenye skrini), Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Misaada ya Umoja wa Mataifa nchini Somalia (UNSOM), akihutubia Baraza kupitia kiungo cha video. Picha: UM / Eskinder Debebe

Changamoto za muda mfupi na za muda mrefu bado zinaendelea nchini Somalia , iwe ni masuala ya kibinadamu, uchumi , usalama au ya kisiasa. Kauli hiyo imetolewa na mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Michael Keating alipotoa tarifa kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa hii leo kuhusu hatua zilizopigwa nchini humo. [...]

13/09/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Filamu mpya ya Rankin yangazia majanga ya watoto- UNICEF

Kusikiliza / Mtoto mkimbizi ambaye alikimbia vita yya Raqqa akiwa na wazazi wake. Picha: © UNICEF Syrian Arab Republic/2017/Souleiman

Mpiga picha  na mwandaaji filamu maarufu Rankin ameshirikiana   na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto   UNICEF  kuandaa filamu inayoonyesha madhila yanayowakabili   watoto waliokumbwa na vita, umaskini na maafa. Filamu hiyo, iliyotengeneza kwenye miondoko ya wimbo Bastille uitwao "Kuta nne"unaonyesha wakimbizi watoto  na wahamiaji wakiangalia picha za watoto wenzao walioko katika [...]

13/09/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Priyanka ashuhudia jamii zinavyosaidia wakimbizi watoto Jordan

Kusikiliza / Balozi mwema wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF Priyanka Chopra ziarani Jordan. Picha: UNICEF

Balozi mwema wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF Priyanka Chopra amehitimisha ziara yake ya siku mbili nchini Jordan ambako amekutana na watoto na vijana wa Syria waliosaka hifadhi nchini humo kufuatia vita vinavyoendelea nchini m wao. Katika ziara hiyo alifika Aman kwenye mradi wa UNICEF uitwao Makani kwa kiarabu au Nafasi [...]

13/09/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Walinda Amani wa Chad waliouawa Mali waagwa

Kusikiliza / Moja ya majeneza yaliyokuwa yamehifadhi miili ya walinda amani kutoka Chad waliouawa nchini Mali wakihudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, MINUSMA. (Picha:Unifeed Video)

Nchini Mali hii leo kumefanyika gwaride la kuaga miili ya walinda amani wawili wa Umoja wa Mataifa ambao ni raia wa Chad. Walinda amani hao waliuawa wakati wa shambulio dhidi ya msafara wa walinda amani wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchin humo, MINUSMA tarehe 5 mwezi huu. Wawili hao ni Luteni Usu Abdelkerim Mahamat [...]

13/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

#Myanmar acha operesheni za kijeshi dhidi ya warohingya- Guterres

Kusikiliza / Guterres Presser

Serikali ya Myanmar iache mara moja operesheni za kijeshi dhidi ya waislamu wa kabila la Rohingya. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala muhimu wakati huu chombo hicho kikijiandaa kwa mjadala mkuu wa Baraza Kuu wiki ijayo. Amesema udhalimu wa miongo kadhaa [...]

13/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vijana kujitafutia riziki wakiwa likizoni ili kukidhi mahitaji ya shule: Burundi

Kusikiliza / Vijana na sekta ya ujenzi barani Afrika. Picha: ILO/Video capture

Tatizo la umasikini nchini Burundi umekuwa ni kama wimbo wa taifa na wazazi wengi wanajikuta wanashindwa kukidhi mahitaji ya familia zao ikiwemo kuwalipia watoto karo za shule. Sasa vijana wengi wanafunzi nchini humo wamechukua hatua ya kuwasaidia wazazi kukidhi mahitaji hayo ya shule kwa kufanya kazi hususani za ujenzi wakati wa likizo. Fedha wanazozipata zinasaidia [...]

13/09/2017 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ukubwa wa shamba si tija bali pembejeo utaalamu na pembejeo

Kusikiliza / Makamu wa Rais wa Ghana, Dokta Mahamudu Bawumia. Picha: UNCTAD

Huko Geneva, Uswisi leo kumefanyika kikao cha ngazi ya juu kuhusu jinsi ya kuimarisha uwezo wa uzalishaji katika nchi zinazoendelea ambapo imeelezwa kuwa uwezeshaji wananchi ndio muarobaini wa hoja hiyo kwa maendeleo endelevu. Selina Jerobon na ripoti kamili. (Taarifa ya Selina) Kikao hicho kimeandaliwa na kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo, UNCTAD [...]

13/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wau yaweza kuwa mfano wa kuigwa kwa wakimbizi wa ndani kurejea nyumbani:UNMISS

Kusikiliza / Wakimbizi wa ndani katika kambi ya Lokoloko nchini Sudan kusini. Picha: UNMISS

Kurejea nyumbani kwa wakimbizi wa ndani katika eneo la Wau Kaskazini Magharibbi mwa Sudan Kusini kwaweza kuwa mfano wa kuigwa na sehemu zingine za nchi hiyo amesema mkuu wa mpango wa Umoja wa Mataifa  wa kulinda amani nchini humo UNMISS. Amina Hassan na ripoti kamili. (Taarifa ya Amina) David Shearer, ameyasema hayo alipozuru mji wa [...]

13/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hatuhusiki kwa njia yoyote kuhalalisha biashara ya madini DRC:MONUSCO

Kusikiliza / Walinda amani wa Umoja wa Mataifa: Picha: MONUSCO

Kufuatia kubainika kwa nyaraka bandia, mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ( MONUSCO) umekumbusha kwamba Umoja wa Mataifa nchini humo hauhusiki katika mazingira yoyote na kwa njia yoyote ile katika mchakato wa kutoa hati za kuingiza au kusafirisha nje madini. Katika taarifa yake MONUSCO imesema baadhi ya wasafirishaji haramu [...]

13/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uwiano wa kijografia na usawa wa kijinsia ni muhimu katika vita dhidi ya ugaidi:

Kusikiliza / Kikao cha baraza kuu kilichoidhinisha kuanzishwa kwa ofisi ya Umoja wa Mataifa kupambana na ugaidi. Picha na UM

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye ni mkuu wa ofisi mpya iliyoanzishwa kwenye Umoja huo kupambana na ugaidi anaamini kwamba uwiano wa kijiografia na usawa wa kijinsia ni chachu ya mafanikio ya ofisi yake. Vladimir Voronkov aliteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres mwezi juni , baada ya baraza [...]

13/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031