Nyumbani » 09/09/2017 Entries posted on “Septemba 9th, 2017”

UNCDF na ENSOL wafikisha umeme Mpale, Korogwe

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na madini nchini Tanzania, Dkt Juliana Palangyo (wa pili kushoto) akicheza na wanakijiji wa Mpale,Korogwe baada ya kupata umeme kwa mara ya kwanza tangu kijiji kianzishwe mwaka 1972. (Picha:Unic Dar es Salaam/Stella Vuzo

Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya mitaji na maendeleo (UNCDF), ikishirikiana na kampuni ya Ensol Tanzania Ltd. (Ensol) leo wamezindua mfumo wa umeme wa nishati ya jua katika kijiji cha Mpale kilichopo katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Mradi huo utakaonufaisha kaya 50 kati ya 730 kijiji hapo, umezinduliwa leo na Katibu Mkuu wizara ya [...]

09/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031