Nyumbani » 04/09/2017 Entries posted on “Septemba 4th, 2017”

Diplomasia ya hali ya juu yahitajika dhidi ya DPRK- Feltman

Kusikiliza / Jeffrey Feltman, (kulia) Mkuu wa masuala ya siasa kwenye UM akihutubia Baraza la Usalama. (Picha:UNWebTV-Video Capture)

Kwa mara nyingine tena Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana leo kujadili kitendo cha Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK kufanya jaribio la kombora na wakati huu likiwa ni kombora la nyuklia, jaribio lililofanyika chini ya ardhi jana Jumapili. Mkuu wa masuala ya siasa kwenye umoja huo, Jeffrey Feltman amewaambia wajumbe [...]

04/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Harakati za kusaidia watoto waliozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi Tanzania

Kusikiliza / Mtoto Fahd Sefu ambaye anapata huduma katika kituo cha FoCCTZ huko Vikindu, mkoa wa Pwani nchini Tanzania. Picha: UM/Idhaa ya Kiswahili_Assupta Massoi

Leo Jumatatu tunakuletea jarida maalum kwa kuwa ni siku ya mapumziko nchini Marekani, ikiadhimishwa siku ya wafanyakazi humu nchini. Kwa mantiki hiyo tunakuletea jarida hili maalum likiangazia harakati za kusaidia watoto waliozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi huko nchini Tanzania. Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi ambaye alitembelea kituo cha asasi ya kiraia ya marafiki [...]

04/09/2017 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031