Nyumbani » 03/09/2017 Entries posted on “Septemba 3rd, 2017”

DPRK yafanya jaribio la nyuklia, Guterres, IAEA walaani

Bendera ya Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK au Korea Kaskazini. (PICHA:Maktaba)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali jaribio la nyuklia lililofanywa leo na Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK. Jaribio hilo lililofanyiwa chini ya ardhi, ni la sita tangu mwaka 2006 na linafuatia majaribio mengine mawili ya aina hiyo yaliyofanywa mwaka jana. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imemnukuu [...]

03/09/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031