UNMISS yatowesha hofu kwa watoto Sudan Kusini.

Kusikiliza /

Watoto wakicheza nchini Sudan Kusini. Picha kwa hisani ya video ya UNMISS.

Hofu,mashaka mtawalia! Haya ni baadhi ya madhila yaliyowakumba watoto nchini Sudan Kusini kabla ya operesheni ya kikosi cha ulinzi wa amani cha  Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS kilichotowesha madhila hayo.

Katika Makala ifuatayo, Joseph Msami anaeleza mustakabali wa watoto nchini Sudan Kusini taifa lililokumbwa na mizozo.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Septemba 2017
T N T K J M P
« ago    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930