Sierra Leone waomboleza kwa siku saba kufuatia maporomoko

Kusikiliza /

Mamia ya watu wahofiwa kupoteza maisha baada ya maporomoko ya ardhi nchini Sierra Leone. Picha: UNICEF

Nchini Sierra Leone, wananchi wakiendelea na maombolezo ya kitaifa kufuatia janga la maporomoko ya udongo na mafuriko siku ya Jumatatu, Umoja wa Mataifa unaendelea na harakati zake za uokozi na kuepusha mlipuko wa magonjwa. Flora Nducha na ripoti kamili.

(Taarifa ya Flora)

Regent, mji ulioko milimani, takribani kilometa 16 kutoka mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown ndio umeathirika zaidi ambapo Jesse Kinyanjui, mtaalamu wa masuala ya kujisafi kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF anaeleza hali ilivyo hivi sasa..

(Sauti ya Jesse)

Amesema pamoja na kuendelea na huduma za uokoaji..

(Sauti ya Jesse)

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930