Muziki waleta nuru kwa wakimbizi wa Syria nchini Ugiriki

Kusikiliza /

Mwanamuziki mkimbizi kutoka Syria aliyeko Ugiriki ambaye anatumia ujuzi wake kuwafundisha watoto. Picha: UNHCR/Video capture

Vita nchini Syria vimeingia mwaka wa 7 na mamia ya maelfu ya raia wamekimbia nchi hiyo kwani si shwari tena. Maisha ambayo wananchi walikuwa wamezoa yametumbukia nyongo. Hata hivyo hata kule walipo wanatafuta mbinu ya kuweza kuishi na kutumia stadi zao ili kukabiliana na machungu. Miongoni mwao ni mkimbizi kutoka Syria aliyeko Ugiriki ambaye anatumia ujuzi wake. Je anafanya nini? Ungana basi na Assumpta Massoi kwenye makala hii.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930