Neno la wiki: Sogi

Kusikiliza /

Neno la wiki: Sogi

Wiki hii tunaangazia neno "Sogi" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.

Bwana Sigalla anasema Sogi ni mifuko miwili anayebebeshwa punda, moja kila upande ambayo hutumiwa kubeba mizigo ndani yake.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930