Tunasonga kutokomeza umasikini Tanzania japo kuna changamoto:Mwasha

Kusikiliza /

Anna Mwasha , Mkurugenzi idara ya kutokomeza umasikini katika wizara ya fedha na mipango ya Tanzania akihojia na Idhaa ya Kiswahili ya UM wa Mataifa New York.

Juhudi za kutokomeza usmasikini sanjari na utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDG's zinapiga hatua nchini Tanzania ingawa bado kuna changamoto kadhaa.

Akizungumza na idhaa hii kandoni mwa kongamano la ngazi ya juu la kisiasa linalotathimini utekelezaji wa SDG's kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani Bi Anna Mwasha, ambaye ni mkurugenzi wa idara ya kuondoa umasikini katika wizara ya fedha na mipango ya Tanzania amesema wanachukua hatua mfano

(ANNA CUT 1)

Amesema hata hivyo bado kuna changamoto

(ANNA CUT 2)

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031