Sarakasi yatumika kujenga amani na upendo Sudan Kusini

Kusikiliza /

Wanafunzi wanaoshiriki sarakasi kwa ajili ya kuchagiza amani.(Picha:UNIfeed/video capture)

Nchini Sudan Kusini, shirika moja lisilo la kiserikali limeibuka na mbinu mpya ya kuimarisha amani, upendo na maridhiano baina ya jamii kwenye taifa hilo changa zaidi duniani. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vimejenga chuki baina ya raia, na hivyo kukwamisha ndoto ya maendeleo ambayo wananchi walikuwa nayo tarehe 9, Julai 2011 walipotangazwa huru. Je nini kinafanyika? Na ni mbinu gani hiyo? Assumpta Massoi anafafanua kwenye makala hii..

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2017
T N T K J M P
« jul    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031