Nyanya apanda mbegu ya imani kwa wakimbizi-Uganda

Kusikiliza /

Nyanya ambaye alikaribisha wakimbizi katika shamba lake.(Picha:UNHCR/Video Capture)

Mgogoro na njaa nchini Sudan Kusini ukiendelea, wananchi wamelazimika kukimbilia nchi jirani zikiwemo Uganda, Sudan, Ethiopia, Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Jamhuri ya Afrika ya kati kusaka hifadhi. Jamii nchini Uganda zimetoa mfano wa kuigwa kwa kufungua nyumba zao na kuwakirimu wakimbizi hao.

Katika makala ifuatayo, Selina Jerobon anakutana na mwanamke mwenye umri wa miaka 70 katika wilaya ya Yumbe, karibu na makazi ya wakimbizi ya Bidibidi nchini Uganda. Ungana naye kwa undani zaidi…

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2017
T N T K J M P
« jul    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031