Nyumbani » 18/06/2017 Entries posted on “Juni 18th, 2017”

Nimestushwa na kusikitishwa na vifo vya moto Ureno:Guterres

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António  Guterres.(Picha:UM/Jean-Marc Ferr)

Nimeshtushwa na kusikitishwa na idadi ya watu waliopoteza maisha leo kutokana na moto wa mwituni uliolikumba eneo la Pedrógão jimbo la Grande nchini Ureno. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye mapema leo Jumapili amezungumza na Rais wa Ureno , Marcelo Rebelo de Sousa, na waziri mkuu, António Costa, [...]

18/06/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kamishina Mkuu wa wakimbizi azuru Sudan Kusini-UNHCR

Kusikiliza / Kamishina Mkuu wa wakimbizi Filippo Grandi akuwa katika eneo la ulinzi wa raia Juba Sudan Kusini akizungumza na wakimbizi wa ndani. Picha kutokana nha video ya UNHCR

Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Filippo Grandi amekuwa ziarani nchini Sudan Kusini. Akiwa nchini humo bwana Grandi amezuru eneo la ulinzi wa raia karibu na mji kuu Juba linalohifadhi watu zaidi ya 30,000. Katika eneo hilo amekutana na kundi la wanawake ambao wametembea kwa juma zima kufika katika [...]

18/06/2017 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031