Nyumbani » 11/06/2017 Entries posted on “Juni 11th, 2017”

Guterres asema utofauti ni mali na sio tishio

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres,  katika sanamu ya ukumbusho wa wahanga wa ghasia za kikabila ambao ulifanyika Kyrgyzstan mwaka  2010. Picha: UM/Vyacheslav Oseledko

  Jamii zinazidi kutofautiana zaidi na zaidi ulimwenguni kote na hili ni lazima lizingatiwe kama kitu chanya,  amesema leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres wakati wa  ziara yake Kyrgyzstan. Guterres alitembelea  eneo la Osh na kuweka shada la maua katika sanamu ijulikanayao kama "Machozi ya Mama", iliyo kumbukumbu ya  mamia ya watu waliopoteza [...]

11/06/2017 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2017
T N T K J M P
« jul    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031