Nyumbani » 13/02/2017 Entries posted on “Febuari 13th, 2017”

Takriban watu milioni 50 kote duniani wana kifafa: WHO

Kusikiliza / Mgonjwa mwenye tatizo la kifafa. Picha: WHO

Kifafa ni tatizo sugu la ubongo linaloathiri watu kote duniani na linaambatana na tabia ya kujirudioarudia. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO makadiirio ya watu wnaoanguka kifafa kwa wakati mmoja ni kati ya wanne na 10 kwa kila kati ya watu 100. Tangu mwaka 1997 WHO na washirika wake walizindua kampeni ya kimataifa [...]

13/02/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Radio yaenda sambamba na mabadiliko

Radio na mabadiliko

13/02/2017 | Jamii: SIKU YA REDIO 2017, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Wanachama UM waimarishe ushirika kulinda mioundombinu dhidi ya ugaidi

Kusikiliza / Wanachama UM wakutana kujadili ulizi wa mioundombinu dhidi ya ugaidi. Picha: UN Photo/Rick Bajornas

Ushirikiano wa kukabiliana na ugaidi baina ya nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ili kulinda miundombinu ni muhimu na unahitaji kuwa mpana zaidi, kwa mujibu wa afisa mwandamizi wa umoja wa Mataifa. Ameyasema hayo mkuu wa baraza la utawala wa Umoja wa Mataifa Maria Luiza Ribiero, wakati wa kura ya bila kupinga kupitisha azimio hilo [...]

13/02/2017 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Redio inatusaidia katika masomo: Wanafunzi

Kusikiliza / Wanafunzi wanafanya mahojiano kupitia njia ya redio mjini Juba nchini Sudan Kusini. Picha: UNMISS

Siku ya redio duniani ikiadhimishwa hii leo Februari 13, chombo hicho cha habari kina umuhimu kwa makundi mbalimbali ya kijamii katika kuelimisha ambayo ni moja ya wajibu wa chombo cha habari ya. Kiswaini Pemba Zanzibar, Hassan Ali wa redio washirika Micheweni kisiwani humo, amevinjari katika moja ya shule ya msingi na sekondari za eneoe hilo [...]

13/02/2017 | Jamii: Makala za wiki, SIKU YA REDIO 2017 | Kusoma Zaidi »

Guterres alaani uvurumishaji wa kombora DPRK

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres akihutubia waandishi wa habari. Picha: UN Photo/Manuel Elias

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani vikali hatua ya serikali ya Jamhuri ya watu wa Korea au DPRK kurusha kombora la ballistic. Nchi hiyo ambayo pia inajulikana kama Korea Kaskazini, imearifiwa kufanya majaribio ya kombora la masafa ya kati siku ya Jumapili. Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wake Jumatatu, Bwana Guterres ameliita [...]

13/02/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

MINUSCA kuendelea kutoa ulinzi wa raia nchini CAR

Kusikiliza / Picha: UN/OCHA Central African Republic

  Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, umesema unaendelea na wajibu wake wa kutoa ulinzi kwa raia kwa idhini na ombi la serikali ya nchi hiyo na kwa mujibu wa mamlaka yake yaliyowekwa na maazimio ya Baraza la usalama. MINUSCA imesema itaendelea pia kuimarisha eneo la Ouaka, ambako kumekuwa [...]

13/02/2017 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UM na wadau watoa ombi la mamilioni ya dola kwa ajili ya DR Congo

Kusikiliza / Picha: UM

Umoja wa Mataifa na washirika wake wa masuala ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wametoa ombi la karibu dola milioni 750 ili kuwasaidia watu milioni sita nukta saba mwaka huu nchini humo. Akizungumzia umuhimu wa ombi hilo Rein Paulsen mkuu wa ofiri ya kuratibu masuala ya kibinadamu nchini DRC (OCHA) amesema ni [...]

13/02/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kamati ya kupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake yaanza kikao cha 66 Geneva.

Kusikiliza / Logo

Kamati ya kuondoa unyanyasaji dhidi ya wanawake CEDAW, hii leo imefungua mkutano wake wa 66 mjini Geneva Uswisi, kamati hiyo imeeleza kuongezeka kwa vitendo hivyo kunakochochewa na wimbi la wakimbizi na wahamiaji duniani. Orest Nowosad ambaye ni mkuu wa vikundi vya kujikita katika kitengo cha mikataba ya haki za binadamu kwenye ofisi ya Umoja wa [...]

13/02/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Redio yasalia chombo muhimu cha habari: Wasikilizaji.

Kusikiliza / Msikilizaji wa radio ya Kangema RANET nchini Kenya.(Picha:WMO/Video capture)

Na Radio bila msikilizaji sio Radio.Wasikilizaji ni muhimu katika kuendeleza chombo hiki. Haya ni maoni yao kwa njia ya simu kutoka sehemu mbalimbali wakieleza umuhimu wa chombo hicho katika kupata habari  mchanganyiko.  ( VOX POP) Basi kwa Maoni mengine tembelea ukurasa wetu wa Facebook.

13/02/2017 | Jamii: Habari za wiki, SIKU YA REDIO 2017 | Kusoma Zaidi »

Radio ni wewe! Tuitumie kuimarisha mashauriano-UNESCO

Kusikiliza / Rwanda wajiunga na maadhimisho ya siku ya redio duniani. Picha: UNESCO

Leo ni siku ya radio duniani ujumbe ukiwa Radio ni wewe ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO limetaka chombo hicho kitumiwe kuchagiza mashauriano. Assumpta Massoi na maelezo zaidi. (Taarifa ya Assumpta) Tunaishi katika mapinduzi ambamo kwayo tunabadilishana na kupata taarifa na bado katika mabadiliko haya, Radio imesalia kuwa muhimu [...]

13/02/2017 | Jamii: Habari za wiki, SIKU YA REDIO 2017 | Kusoma Zaidi »

WFP, Japan wasaidia upatikanaji wa chakula

Kusikiliza / Mama analisha wtoto wake. Picha: WFP/Olivia Aclan

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP, limekaribisha mchango wa dola million 85.2 kutoka kwa serikali ya Japani, ambao utasaidia kushughulikia mahitaji ya msingi ya chakula na lishe kwenye nchi 33 katika bara la Afrika, Asia, na ukanda wa Mashariki ya Kati. John Kibego na taarifa kamili (TAARIFA YA KIBEGO) ojiro Nakai, Mkuu wa Ofisi [...]

13/02/2017 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kujisomea na tafiti za kina zilisogeza radio kwa msikilizaji- Rose

Kusikiliza / Bi. Rose Haji (kulia)Picha: UM

Mmoja wa watangazaji na waandishi wa habari nguli nchini Tanzania, Rose Haji amezungumzia ujumbe wa Radio ni wewe katika maadhimisho ya siku ya Radio duniani hii leo na kusema utafiti wa kina wa mada husika na stadi katika fani hiyo viliwezesha msikilizaji kuhisi yuko na radio wakati wowote. Akihojiwa na Idhaa hii Bi. Haji amesema.. [...]

13/02/2017 | Jamii: Habari za wiki, SIKU YA REDIO 2017 | Kusoma Zaidi »

Tusipochukua hatua sasa ajenda ya kutokomeza njaa 2030 itakuwa ndoto:FAO

Kusikiliza /

Kushindwa kuchukua hatua sasa kuhakikisha mifumo ya chakula inakuwa imara sanjari na mabadiliko ya tabia nchi, kutaleta zahma kubwa , katika uzalishaji wa chakula katika kanda nyingi na kuzamisha juhudi za kimataifa za kutokomeza njaa na umasikini ifikapo mwaka 2030. Onyo hilo limetolewa Jumatatu na mkurugenzi mkuu wa shirika la chakula na kilimo José Graziano [...]

13/02/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Dola bilioni 1.6 zahitajika kukidhi mahitaji Sudan Kusini:OCHA

Kusikiliza / Ndege unaotumiwa kwa usafirishaji kwa ajili ya haki za binadamu katika uwanja wa Ndehe wa Juba nchini Sudan Kusini. Picha: OCHA

Mashirika ya misaada ya kibinadamu yametoa ombi la dola bilioni 1.6 ili kutoa msaada wa kibinadamu wa kuokoa maisha ya na ulinzi kwa watu milioni 5.8 Sudan Kusini kwa mwaka 2017. Kwa mujibu wa mratibu wa shirika la masuala ya kibinadmu OCHA nchjini Sudan kusini Eugene Owusu , hali ya kibinadamu nchini humo inaendelea kudorora [...]

13/02/2017 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Redio bado ni nambari moja kote duniani

Kusikiliza / Mfanyakazi asikiliza redio akichuna majani.  Picha: UNESCO/Video cature

  Leo Februari 13 ni siku ya redio duniani ikitokana na azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa la kuanzisha radio ya umoja huo tarehe 13 Februari mwaka 1946. Maudhui ya mwaka huu ni radio ni wewe ikiangazia jinsi radio inavyoendelea kumshirikisha msikilizaji ambapo Idhaa hii imezunngumza na  mtangazaji nguli wa Kenya Fred Obachi [...]

13/02/2017 | Jamii: SIKU YA REDIO 2017 | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031