Usawa wa kijinsia waleta manufaa nchini Tonga

Kusikiliza /

Jamii wa Hunga katika ujenzi wa barabara ya lami. Picha: IFAD/Video capture

Ushirikishwaji wa wanawake katika kufanya maamuzi ya kijamii umewezesha maendeleo na utekelezaji wa miradi ya miundombinu mikubwa, kama vile ghati mpya na barabara ya lami katika eneo la Hunga nchi Tonga bahari ya pasifiki, vitu ambavyo kwa miaka mingi hawakuwanavyo. Miradi hii ilizunduliwa na serikali ya Tonga ikishirikiana na shirika la mfuko wa maendeleo ya kilimo, IFAD. Ungana na Selina Jerobon kwa undani zaidi..

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031