Fursa adimu kuiwakilisha nchi yangu UM nitaikumbuka daima-Manongi

Kusikiliza /

Hapa Balozi Tuvako Manongi akitia saini mkataba wa makubaliano ya Paris kwa niaba ya nchi yake Tanzania Aprili 2016.(Picha:UM/Amanda Voisard)

Balozi tuvako Manongi mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa ambaye sasa anaondoka baada ya kustaafu, amesema kupewa jukumu la kuiwakilisha nchi yako kwenye Umoja wa Mataifa ni jambo la kulienzi na kujivunia kwani ni adimu. Akuzungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii Balozi Manongi pia amempongeza Katibu Mkuu anayeondoka Ban Ki-moon kwa juhudi zake katika mabadiliko ya tabia nchi na malengo ya maendeleo endelevu SDG's ungana nao katika mahojiano haya.

(MAHOJIANO NA BALOZI MANONGI)

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930