Mengi yameighubika Afrika 2016:Balozi Kamau

Kusikiliza /

Balozi Macharia Kamau wakati wa mahojiano na Flora Nducha.(Picha:Idhaa ya Kiswahili)

Mwaka 2016 unakaribia kukunja jamvi ukiwa unamalizika na masuala chungu nzima. Kwenye Umoja wa Mataifa pia mengi ymetamalaki kuanzia vita na hata matumaini ya mustakhbali wa wanawake. Lakini yapi yaliyoelemea zaidi bara la afrika lenye nchi 54 na yanayostahili kufanyiwa kazi? Flora Nducha wa Idhaa hii ameketi na balozi Macharia Kamau, mwakilishi wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa lakini pia mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu kuhusu masuala ya El nino kuyachambua, ambatana nao

(MAHOJIANO MACHARIA KAMAU)

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930