Muziki waelimisha kupinga ukatili dhidi ya wanawake

Kusikiliza /

Maadhimisho ya siku ya kupinga ukatli dhidi ya wanawake na wasichana kwenye UM.(Picha:WebCastVideo capture)

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake, sambamba na siku 16 za harakati dhidi ya vitendo hivyo kote duniani, ujumbe wa utokomezaji unafikishwa kwa njia mbalimbali.

Njia mojawapo ni muziki ambapo hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kumegfanyika tukio maalumn lililowakusanya wadau wa harakati za ukatili dhidi ya wanawake. Burudani ilitamalaki ikienda sanjari na ujumbe. Amina Hassan anasimulia katika makala ifuayato.

Sambaza

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031